mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha masikini wenzangu walala hoi wenzangu Watanzania wenzangu kuwa Gonjwa Hatari la Ukimwi bado lipo tena Kwa yule mdhaniae Hana ndio anao kutokana Na kushamiri Kwa ngono kiasi cha kushangaza .Watanzania sasa hivi hakuna anayezungumzia ugonjwa huu Kwa umezoeleka kama ni ugonjwa kama magonjwa mengine.Chonde chonde masikini wenzangu tuamini kuwa Ukimwi bado upo tena Kwa watu wengi.