Jamani jamani UKIMWI upo

Jamani jamani UKIMWI upo

Kwa elimu yangu ya darasa la saba B, Ukimwi sio ungonjwa... Ni Upungufu wa Kinga Mwili... So ukiwa na Ukimwi, means unafungua mlango kwa magonjwa kukushambulia, hivyo basi, hakuna anayekufa kwa Ugonjwa wa Ukimwi(maana hakuna ugonjwa wa namna hiyo) , bali watu wanakufa na magonjwa mengine ambayo yamekupata baada ya kuwa na Ukimwi, yaani Upungufu Wa Kinga Mwilini.

Kweli elimu yako ya la saba B ungeenda bac hata form one huu ujinga ungekutoka
 
....yani mleta mada unataka tuache kuzungumzia sukari tuzungumzie ukimwi wa toka 1983!!
 
Duuuh!!! .Yaani humu mnajichanganya vibaya sana, Ila nitatoa jibu mwisho
 
Jamani mtoa mada ametoa taadhali kuwa ugonjwa wa Ukimwi bado upo so tusijishau sana, wote wanaume na wanawake tuwakumbushe watoto wetu wanaochipukia kwnye mapenzi wawe makini, Huu ugonjwa unatambulika zaidi kwa jina hili la Ukimwi kwa hiyo transilation za kitaalamu hazina nafasi kwenye hii topic wengi wetu tumeelewa mleta mada anamaanisha nini,
Ki ukweli ugonjwa upo, na mimi naamini hadi sasa kila familia ya mtanzania imeathirika na ugonjwa huu,
Ebu kumbuka kuanzia kwa babu yako na ndugu zake, au baba yako na ndugu zake, mama yako na ndugu zake, shangazi yako na ndugu zake, mke wako na ndugu zake,
Lazima utapata aidha mmoja au zaidi ya mmoja ameondoka na gonjwa hili,
So please Mama tery hayupo kutukumbusha tena kuhusu ukimwi, jilinde mwenyewe na nafsi yako
 
ofcoz ukimwi hupo mkuu, lakn watu wanapata dawa fresh na kuendlea kuongeza siku za kuishi. ndo mana sekta nyingi za afya zimepunguza kampeni za ukimwi.
Siku the town skendle ni diabetes mellitus(kisukari),cancer, na sasa tayar virus vya zika vipo afrika, hayo ndo magonjwa makubwa duniani na yanakuondoa fasta kweny world reception.
 
Siku hz nguvu za kiume mkuu
 
Chuakachara angakia usije ukafa ukawekwa kwenye mfuko wa rambo hapa ndipo hilo swali lako litapata jibu
 
ofcoz ukimwi hupo mkuu, lakn watu wanapata dawa fresh na kuendlea kuongeza siku za kuishi. ndo mana sekta nyingi za afya zimepunguza kampeni za ukimwi.
Siku the town skendle ni diabetes mellitus(kisukari),cancer, na sasa tayar virus vya zika vipo afrika, hayo ndo magonjwa makubwa duniani na yanakuondoa fasta kweny world reception.

Nadhani wengi ndio wanasemaga kama ulivyojieleza hapa kwa kujipa moyo na matumaini. Tazama majibu ya wengi humu yako hivihivi. Hii ni dalili tosha kuwa tatizo ni kubwa.
 
Hivi nini kinachosababisha watu kuupetipeti hivi hilo gonjwa? Hata mngeutamka vipi makali yake hayabadiliki muuite Ukimwi ama HIV ama AIDS hayo ni maneno tuu hayapunguzi ukali kwa mwathirika wala hayabadilishi maana ya hilo gonjwa, mueleweni mtoa mada namuache ubishi kupoteza maana ya thread
 
Unaweza kututhibitishia HIV husabahisha UKIMWI au unaongea kama mtu wa mapokeo?
 
Mhhh, usichanganye watu wewe!!
Mbona nimeongea kiswahili fasaha, kwani kirefu cha UKIMWI si Upungufu wa Kinga Mwilini unaosababishwa na vitu mbali mbali kama matumizi ya madawa ya kulevya, malnutrition, ugonjwa wa Kifua kikukuu nk.

Sasa niambie wapi nimekuchanganya.
 
Hatari kubwa ipo kwa wanafunzi hasa wa sekondari kutokana na umri wao na tamaa za hapa na pale. Rika hili hurubuniwa kirahisi na kwa kasi kubwa sana.

Mungu awalinde vijana wetu.
 
Kwani janga la UKIMWI lilitangazwa lini na nani kuwa limekwisha/halipo tena?
 
Back
Top Bottom