Sio ulokole Dr.Mo, ni kuelezana ukweli kuwa swala la ngono zembe limekuwa tishio! Hamna anayeshambuliwa hapa ila kama ulivyosema, tuwe waangalifu, sio kuvua boxers kila tunapoona chupi!
Hii itapunguza matumizi ya condom za promotion
Last edited by a moderator: