Jamani hizi kondomu zitatuua.......,daaaaaaaah

Jamani hizi kondomu zitatuua.......,daaaaaaaah

kwahiyo wewe muda wowote kwako ni ngono tu mpaka ufikirie kutembea na kondom?

na maduka yoote haya yanayouza condoms, bado tu unaniambia nitembee nazo?

hatma ya ndoa itakuwaje nikikamatwa na waifeeee??
 
Jamaako dushelele lake lina mkasi

Note: mwambie jamaako aache uziznzi
 
Tatizo sio hilo tu! hutumii kinga na bado una uchu wa kucheza rafuuuu! tutapona kweli!!!!
Mimi situmii kabisa
Hivi ww utaenda kuoga huku umevaa Pajama utatakata kweli? au unajoke
Hata Wanayama hawavai hiyo kitu lkn kila kiumbe na wa kwake sasa kwanini kuchangia na kuvalishana?
 
Hivi hatuwezi kutawala fikra zetu eh! Au hatuna majukumu yanayosumbua akili zetu? Yani dk tano mtu anavua boxer kwa stranger!..
sijui huwa hawaoni kinyaa kumvulia kila mtu hata asiyemjua?hawa wa hivi hawaithamini miili yao
 
Mbona warokole watembea na biblia kwa nn wazinzi tusitembee na condom. Wazinzi kutembea na condom yawezekana.
 
[FONT=book
antiqua]!
!
Yaani kimoja cha fasta, kama anavyofanya jogoo tu!....kabla virusi
havijashtuka unakuwa ushamaliza kazi yako,, UKIMWI utaupata saa
ngapi!?ukichukulia kama ligi lazima uusome mziki
[/FONT]

hahah..kile kihali cha germs are nat aware
 
Hiyo inaitwa ---- moja yan ukiweka 2 bao.yan nje ndani y kwanza 2 baooo
 
Ukijithamin hutaruhus ujinga lakin kama hujithamin tunajiandaa kukufukia
 
ivi mbona watanzania wanafki sana.......mbona tunajidai walokole sana.....mimi Napata kesi kila siku za magonjwa ya ngono and related conditions...na hapa watu wana-acy as if malaika sana.....ujumbe wa jama ni kwamba watu tuwe waangalifu...na si kumshambulia.....ngono watu tunafanya sana....tuache ULOKOLE wa uongo.....wabongo tubadilike
Sio kila mtu anafanya ngono hovyo hovyo (hata kama mimi nafanya!)
 
Back
Top Bottom