twafa-kali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 251
- 211
Ndugu wadau kuna kisa cha ukweli kimemkuta rafiki yangu..,juzi kati hapa baada ya mahangaiko ya kutafuta ridhiki akaaamua kupoteza muda kidogo kwa kupata moja barid moja moto pale kona bar(huyu jamaa anafanya kazi kwenye taasisi moja iliyopo jirani na hapo)....,na pia ilikuwa ni njia ya kusubiri foleni zipungue kidogo ndo asepe maskani kwake..,sasa akiwa hapo akawa tempted na dada poa mmoja...,akaona si hatari bhana.....,si almradi kucheza salama...,hao wakachukuana mpaka kunako guest zilizopo jirani.,kufika hapo akalipia chumba na akapewa kondomu 2 pieces(anavyodai yeye).sasa shughuli ikaanza na ile kwenda mishindo miwili kondomu ikapasuka..,akavua ile akidhani alikwenda kwa rafu kidogo na kubadili nyingine....,but the same happened ikapasuka nayo while he was so gentle in performance(according to him).jamaa ananiambia this time happened while he already finished......,
note ; 1.kitu nilichojifunza jamani tusitumie kondomu hizi za promotion zinazotolewa kwny hizi guest wasiwasi
2.ikiwezekana tuwe tunatembea na kondomu zetu ambazo tunaziamini viwango..,kwan it can happen that una mzigo tayari na in that particular place no genuine condoms available
3. Jamani baba riziwan hebu tafuta dawa ya hili tatizo sugu la foleni..,coz without it probably jamaa yangu asingeingia kwenye hilo janga