Jamani, Hiyo TVE Yapatikana wapi?

Jamani, Hiyo TVE Yapatikana wapi?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,278
Nijulisheni wana jf.Hiyo channel ya tve inapatikana kwenye decoder gani? Dstv? startimes?continental? zuku?Nataka ninunue decoder yenye chaneli ya tve.
 
ipo Azam.......si hii ya EFM....au......?
 
Nijulisheni wana jf.Hiyo channel ya tve inapatikana kwenye decoder gani? Dstv? startimes?continental? zuku?Nataka ninunue decoder yenye chaneli ya tve.
ipo Dstv, Azam, Zuku, Startimes...
DSTV channel no 295
 
Tv1 naipata wapi kwenye kingamuzi
 
Asanteni wakuu ntaenda huko mwakani baada ya kujipanga maana nasikia dstv ni waghali kinoma!
Kifurushi cha bei ya chini kabisa dstv Tshs 19,000/- kwa mwezi. kinatosha kuitizama TVE pia, ikiwa pamoja na local channels zote, ITV, TBC, Channel 10, Star TV, super sports, 3,,4, 8,9,10, Maximo
 
Kwani ina nini kipya maana ilikua inaonyesha singeli tu
 
Kifurushi cha bei ya chini kabisa dstv Tshs 19,000/- kwa mwezi. kinatosha kuitizama TVE pia, ikiwa pamoja na local channels zote, ITV, TBC, Channel 10, Star TV, super sports, 3,,4, 8,9,10, Maximo
Supersports 3 na maximo hazipatikani kwenye bomba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom