Jamani, Hiyo TVE Yapatikana wapi?

Jamani, Hiyo TVE Yapatikana wapi?

Supersports 3 na maximo hazipatikani kwenye bomba.
Nlikuwa mteja wa Premium package for long, nimei downgrade hadi Bomba, siku niliyo downgrade hizo channels hazikuwapo, nilishangaa kuzikuta siku ilofuata na kuendelea nazo hadi sasa,
May be ni special kwangu
 
Asanteni wakuu ntaenda huko mwakani baada ya kujipanga maana nasikia dstv ni waghali kinoma!

Sio ghali,saiv dish na decoder ni 79000. Na kifurushi cha bei ya chini ni 19000
 
Nlikuwa mteja wa Premium package for long, nimei downgrade hadi Bomba, siku niliyo downgrade hizo channels hazikuwapo, nilishangaa kuzikuta siku ilofuata na kuendelea nazo hadi sasa,
May be ni special kwangu
Kweli waliziweka kama muda wa wiki mbili ila wameziondoa toka juzi.
 
Ipo Nyuzi 75 E 3817v3332
Ebu nisaidieni hiki kitu.
Nimemfunga antenna ya kawaida ya star times. Cha ajabu kila siku signal quality inashuka. Ikiwa 45. Baadae kidogo inashuka mpaka 33. iinabidi fundi AJE tena. Tatizo ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom