Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Jamani hivi wanaume mnataka nini kwa wanawake?

Ukisia pah..ujue imekukosa alielenga hana shabaha,alifanya makosa
 
Ndio mkuu.... Kwenye chura mmoo, kwenye chuchu mmoo, kwenye macho mmoo, kwenye mwanya mmoo.... Sasa naona kuna papuchi mtuno namo mmoo sa tuelewe lipi mkuu
Hahaha hahaha mkuu kumbka na nyie mpo kwa mara dark tall and hb,mwenye ela,mwenye khofu ya mungu,aliesoma,asie na gubu yaani kote kote shida tupu
Cha msingi kama mnaendana tu
NB:mwanamke anaweza mbadili mumewe shika hilo[emoji4]
 
Naona umeamua kubadili gia angani....

Sa mwenye kupenda chura nambadilisha vipi na wakati ananipenda aliona tumacho twangu akasahau sina chura.... Muwe na huruma basi
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sure mkuu ,, ujue kwa maelezo aloyatoa hapo juu anasitahili kuenziwa na kupewa malezi sawa na malezi ambayo hupewa mtoto mchanga toka kwa mama yake.

Mwanzo nilijua mwanamme anachepuka sababu mkewe hatimizi majukum yake,, sasa Binti wawamtu anajitahidi mpaka anaumia ,,kwann asipewe anachostahili ???? .penye miti huwa Hanna wajenzi.
 
Naona umeamua kubadili gia angani....

Sa mwenye kupenda chura nambadilisha vipi na wakati ananipenda aliona tumacho twangu akasahau sina chura.... Muwe na huruma basi
Ahaha leo unanfurahisha mkuu
Unaweza ukawa na tuchura tudogo lakin mumeo akija jion unakuwa mazingira fulani (rejea sifa kuu tanga)
Tudogo lakin mumewe anakuona kama tukubwa

Ebu itendee na khanga kazi ake
Sio suruali tu [emoji23]
 
Jamani naomba wanaume mje hapa... Hivi mungu kakupa mke mwema, mchapakazi, msafi, anajituma, anakupenda na bado huna shukrani. Mungu anawaona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka "HESHIMA". Uchapaji kazi, usafi, kujituma, upendo hzo ni ziada tu. Soma vitabu vya dini [emoji35]

#krav_maga
 
Back
Top Bottom