Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,654
Mnajijua sihitaji kutoa maelezo!
Fanya kazi...
mtu unakuta hata Center ya kijiji chake hajawahi kufika...
huko huko porini anakuja na Grobal statistics za wanafiki...
du!!!!
sijaenda shule...= global
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Pole dada.. angalia chuki dhidi ya Chadema isije kukutolea mimba yakoNikweli mkuu, kwa chama ni chadema na wengine wanafuatia!
Ni nchi ambayo wanasiasa wanamtuhumu mtu kwa ufisadi zaidi ya miaka kumi halafu wanamnadi kama mgombea wao wa urais. Unafiki wa kiwango cha lami.Kibaya zaidi hii nchi usipokuwa mnafiki unaumia.
Ukienda mashuleni. Wanafunzi wale wanafiki na wenye kujua kujipendekeza ndyo wanaosurvive.
Makazini hivyo hivyo.
Hata kwenye siasa ndyo usisema.
Mitahan kwetu huku uswahilini unafiki ndyo tabia ya kwanza ya mswahili.