Tanzania kuna ubinafsi uliokithiri

MzeeKipusa

JF-Expert Member
Feb 10, 2023
2,706
4,923
Straight to the point;-

Sasa hivi katika Taifa letu la Tanzania, bila kuwa na connection au kitu cha kutoa ili nawe upewe...ni vigumu sana kuwa na maisha mazuri.

Watu wamekuwa wabinafsi sana sana;-

GEITA inaongoza kwà ubinafsi ( Ukienda kwenye mji huu bila maelekezo maalum, asee utateseka sana / wanaishi kwà kujuana na kwà kubaguana)
 
Nenda tanga, mtwara halafu rudi hapa!
 
Ukiforce wanakukataa, au wanakuterm kama unataka kuwaibia/kuwaloga
Hahaha basi kua chawa tu utaona mambo yako yananyooka

Maana huna cha kutoa na wala huna wa kukushika mkono unategemea nani akupe fursa bure bure tu

Wahenga walisema mkono mtupu haulabwi.

Hebu fikiria wewe ni afisa manunuzi imetokea contractors wawili wana sifa na vigezo sawa vya kupata tenda lakini mmoja kakuingizia ten percent hapo utampa nani hiyo tenda
 
Dunia nzima ipo hivyo mkuu,connection ndio kila kitu.
Hapana sio Dunia nzima.

Mifumo hii ya Ubinafsi, rushwa na connection ipo nchi zinazoendelea, Third world countries.

Kwa nchi zilizoendelea, First world countries kila kitu kina work kwenye system na kufuata sheria hakuna kujuana, rushwa wala Ubinafsi ni wewe tu juhudi zako za ufanyaji kazi.

Ndio maana hata waafrika wengi wanao enda ulaya bila kujuana na mtu wana hustle na kufanikiwa.

Ujinga na upumbavu huu wa "Connection" upo Afrika tu.
 
Back
Top Bottom