Jamani!!! Hivi ni kweli Tanzania ndyo inaongoza kwa binadamu Wanafiki Duniani?

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,652
174fbfac0a12ea2bd32043e5a168f60a.jpg
01f4b49c97a923e499e2320a206ac15e.jpg

Mnajijua sihitaji kutoa maelezo!
 
Sisi kwa unafiki na majungu tupo kwenye level ya consultancy ndiyo maana tulifukuzwa Msumbiji
 
Fanya kazi...
mtu unakuta hata Center ya kijiji chake hajawahi kufika...
huko huko porini anakuja na Global statistics za wanafiki...
du!!!!
 
Kibaya zaidi hii nchi usipokuwa mnafiki unaumia.

Ukienda mashuleni. Wanafunzi wale wanafiki na wenye kujua kujipendekeza ndyo wanaosurvive.

Makazini hivyo hivyo.

Hata kwenye siasa ndyo usisema.

Mitahan kwetu huku uswahilini unafiki ndyo tabia ya kwanza ya mswahili.
 
Kweli mkuu95% bado tabia ya ulalamishi hujajumlishia gubu kila kitu hakuna zuri hakuna baya...mafisad washikwe wakishikwa shida wakiachiwa shida...ila tunajitosha wenyewe
 
Kibaya zaidi hii nchi usipokuwa mnafiki unaumia.

Ukienda mashuleni. Wanafunzi wale wanafiki na wenye kujua kujipendekeza ndyo wanaosurvive.

Makazini hivyo hivyo.

Hata kwenye siasa ndyo usisema.

Mitahan kwetu huku uswahilini unafiki ndyo tabia ya kwanza ya mswahili.
Ni nchi ambayo wanasiasa wanamtuhumu mtu kwa ufisadi zaidi ya miaka kumi halafu wanamnadi kama mgombea wao wa urais. Unafiki wa kiwango cha lami.
 
Back
Top Bottom