Mwamposa: Tanzania inaongoza Duniani kwa kula habari zisisofaa mitandaoni, hali inayowafanya kuwa wavivu na tegemezi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,149
Nabii na Mtume Mwamposa amesema Watanzania wanatakiwa wajikite kwenye kufanya KAZI kwani Dunia inazidi kutuacha nyuma

Hakuna sababu ya kukesha mitandaoni kuangalia Habari za hovyo hovyo na zisizofaa badala ya kufanya KAZI, amesisitiza Mtume

Tanzania inaongoza Duniani kwa Watu wake kuangalia Habari zisisofaa Mitandaoni, ameeleza Mtume Mwamposa

Nawatakia Dominica Njema 😄
 
Yeye anafanya kazi gani zaidi ya utapeli
 
Nae aache kuwakeshesha na kuwashindisha kutwa waumini kanisani awaache wakafanye kazi
 
Nabii na Mtume Mwamposa amesema Watanzania wanatakiwa wajikite kwenye kufanya KAZI kwani Dunia inazidi kutuacha nyuma

Hakuna sababu ya kukesha mitandaoni kuangalia Habari za hovyo hovyo na zisizofaa badala ya kufanya KAZI, amesisitiza Mtume
Hapo amelinda bado kibarua chake cha kuwaibia wajinga na itakuwa alipokuwa akitamka maneno hayo zombies zilikuwa zinampigia makofi.

Ilibidi aseme na awasisitize kwamba watoke majumbani mwao wakafanye kazi kwa jasho lao yeye hawezi akawauzia maji na udongo wakafanikiwa abadan zaidi atafanikiwa yeye tu,Mtanzania wa leo anaambiwa type ”amen” utatumiwa pesa na mtu usiyemjua na ana-type kweli ana-post ukimuuliza huyo unayetegemea akutumie hela ulimfanyia kazi gani hadi akulipe anakwambia mtume wangu amesema na namwamini.

Upumbavu mtupu watu akili hawana!
 
Ni watu wachache sana wanaotumia simu zenye uwezo wa internet hapa Tanzania hivyo kuongoza dunia hio hoja yake haina ukweli.
 
Nabii na Mtume Mwamposa amesema Watanzania wanatakiwa wajikite kwenye kufanya KAZI kwani Dunia inazidi kutuacha nyuma

Hakuna sababu ya kukesha mitandaoni kuangalia Habari za hovyo hovyo na zisizofaa badala ya kufanya KAZI, amesisitiza Mtume

Tanzania inaongoza Duniani kwa Watu wake kuangalia Habari zisisofaa Mitandaoni, ameeleza Mtume Mwamposa

Nawatakia Dominica Njema
...Tuko Bize Kumsikiliza ya Mange Kimambi kuliko ya Kwa Nini Vyakula Bei juu !!

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom