Jamani hivi hili la kubadili chuo ulichopangwa na TCU linawezekana kweli!

yeah!kwa ud lazma zimtoke ila ingekua ni frm ud 2 udom tena angepokelewa getn na matarumbeta.

Sasa wakuu ni upi ushauri wenu,maana mpk sasa bado hamjanipa any possible means za kuweza kufanikisha mpango wangu!halaf senetor niliiyona moja ya thread zako ikiwa inarelate kdg na hii yangu,sas vp khs huyo dogo wako keshafanikisha au........?

Ishu nyingine una pesa ya kutosha??pesa ndo kila kitu!!

Kuhusu mkwanja sio ishu saana,ishu ni kwamba je huo uwezekano upo?na km ndio ni procedures gn unatkiwa kufuata ili kufanikisha?

Sasa wakuu ni upi ushauri wenu,maana mpk sasa bado hamjanipa any possible means za kuweza kufanikisha mpango wangu!halaf senetor niliiyona moja ya thread zako ikiwa inarelate kdg na hii yangu,sas vp khs huyo dogo wako keshafanikisha au........?

well,dogo nenda pale udsm uliza kama kuna chance za hyo coz yako thn kama watakukubalia andka barua ya kuomba kuchange chuo tcu thn tcu ndo wataconfrm,yule dogo langu haikusumbua coz pale SUA naona hawana usumbufu sana na ukizngatia dogo alikua anahamia coz inayoogopwa na wa2 weng.ila kwa pale udsm najua lazma watakuzngua,c unajua tena mambo ye2 yale.

Poa,let me try my luck,sas na vp kuhus tcu kwa upande wao hawasumbui sana?maana yawezekn chuo wakakubali lkn tcu ikawa kizungu mkuti,hii imekaaje mkuu!

Ndugu jitayarishe na music ya ki2 cha extrem daily hawakubali kuhama mayb uhairishe mwaka,llb ya udom ni ngumu jikaze utazoea too

Back
Top Bottom