Jamani hivi hii database ya Bodi ya mikopo ina nini!!!!!!

TWALICIOUS

Member
May 26, 2011
42
0
Hawa bodi walianza kuruhusu watu waanze kutuma maombi yao toka mwezi 4......tatizo ni kwamba kila watu wanapojaribu kusign in..ishu inakataa na mwisho wa ktuma maombi ni 30JUNE...assume kwa wale wanakaa vijijini hawana huduma hizo na inasemekana kuwa database yao imeharibika na zmebaki siku chache muda uishe jamani hebu rekebisheni basi sio kila Mtanzania ana hela za kusoma bila mkopo..wengi wao wanawategemea nyinyi....................
 
mkuu inakubidi usilale,hata mimi ilinisumbuwa sana,lakini ilinibidi nikeshe na ikaja kukubali sikulala siku hiyo mpaka nilivyoprint form zote
 
mimi haijawahi kunisumbua na login kila siku. But friend of mine yamsumbua, chunguzen kwa makini kuna wanaojisajili kama continuing student but huletewa sub forms za first time loan applicant, kwa style hii tegemea database error nyingi so muwe makini manake error nyingi hizo za database hutokana na duplicate ie: kuwa na data sawa first time na continuing
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom