CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS
S2764 NYEBURU SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0; DIV-II = 1; DIV-III = 1; DIV-IV = 61; DIV-0 = 129
Bado wazazi wanawaweka watoto hapo? Ndipo unapoona kuwa watanzania ni watu wa ajabu!
Bashite akimaliza kujenga ofisi za Walimu, walimu watachapa kazi na kuongeza ufaulu wa hiyo shule.CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS
S2764 NYEBURU SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0; DIV-II = 1; DIV-III = 1; DIV-IV = 61; DIV-0 = 129
Bado wazazi wanawaweka watoto hapo? Ndipo unapoona kuwa watanzania ni watu wa ajabu!
Njia ya ChanikaCSEE 2017 EXAMINATION RESULTS
S2764 NYEBURU SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0; DIV-II = 1; DIV-III = 1; DIV-IV = 61; DIV-0 = 129
Bado wazazi wanawaweka watoto hapo? Ndipo unapoona kuwa watanzania ni watu wa ajabu!
Umejuaje kama tatizo ni Shule?Wizara ya elimu iifunge tuu hiyo shule. Hakuna namna
Shule za kata dar ni shida tuuuuIle shule kila mwanafunzi anajifanya mwanamuziki wa bongo fleva ama video vixen. Ukienda pale mchana, utawaona wanapiga makopo na kuiga nyimbo za fleva na wasichana wanakata mauno yasiyoendana na beats sawa na mavideo vixen wa kibongo kina Amber Lulu na Gigy Money. Hii shule ifungwe tu.
sihiyo tu karibu shule nyingi za kata zina zero,afadhali hata hiyo ina ka two moja.kuna shule ambazo hazina hata three moja ni iv na zeroIle shule kila mwanafunzi anajifanya mwanamuziki wa bongo fleva ama video vixen. Ukienda pale mchana, utawaona wanapiga makopo na kuiga nyimbo za fleva na wasichana wanakata mauno yasiyoendana na beats sawa na mavideo vixen wa kibongo kina Amber Lulu na Gigy Money. Hii shule ifungwe tu.
ipo kwa wale wanaume wachovu, aka Dar es Salaam.CSEE 2017 EXAMINATION RESULTS
S2764 NYEBURU SECONDARY SCHOOL
DIV-I = 0; DIV-II = 1; DIV-III = 1; DIV-IV = 61; DIV-0 = 129
Bado wazazi wanawaweka watoto hapo? Ndipo unapoona kuwa watanzania ni watu wa ajabu!
Bado watu wanashangilia eti elimu bure! Watanzania ni Wafu wanaotembea; wafu waliohai!Ipo mbele ya gongo la mboto kama unaelekea chanika..