Jamani hii shule iko wapi?

Jamani hii shule iko wapi?

sihiyo tu karibu shule nyingi za kata zina zero,afadhali hata hiyo ina ka two moja.kuna shule ambazo hazina hata three moja ni iv na zero
Utakuta wazazi wanashangilia CCM eti elimu bure! Wajinga, maiti zinazotembea!
 
sihiyo tu karibu shule nyingi za kata zina zero,afadhali hata hiyo ina ka two moja.kuna shule ambazo hazina hata three moja ni iv na zero


Janga la taifa hili na ndiyo maana kila baada ya nyumba kumi Dar utakuta kuna wasanii wa bongo fleva na video vixen (wengine hawana hata maziwa, wanakata mauno mtaani) ndiyo maana muziki wao unakosa hata ubora maana hakuna wabunifu, wao ni kukopi tu na kupaste.
 
Uchumi wa viwanda unaimarika!!

Hapo unakuta mwalim hajapata ongezeko la mshahara alafu unatarajia awe na ufanisi darasani??
 
Back
Top Bottom