Jamani hii ni bongo??????

Jamani hii ni bongo??????

mtoto anakwenda dukani kununu Mkate wa Bakhres Duhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh kali saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana Tena hii haijazimuliwa kama ni Pombe basi itakuwa ni Pombe ya Kihehe ULANZI Hiyoooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Hapana mkuu, hatijafika hapa. Ni kwa mugabe huko au Zaire ya Mobutu
 
Hii sio current ndugu yangu...tuombe mungu tusifike huko
 
ametumwa mkate mmoja tu kwa mihela (mikaratasi) yote hiyo.
 
hahahaha kazi kweli kweli ndio maana wameanza kutumia dolar ya marekani
 
Na hizo ni noti za 200,000/=@!!! Sipati picha tu ukitaka kununua bati 180, mifuko ya cement 250 ilikuwaje (unajaza pesa kwenye roli, teh teh!)
 
Ningependa sana Dowans walipwe kwa hizi currency ....maana ingekuwa kama milioni sita tu za KTZ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom