Jamani hii ni bongo??????

Pmj na yote inaeleke hakuna waalifu huko,yaani hakuna wenzi si wangekauwa haka katoto kama ingekuwa bongo manake ni balaa
 
Niliwahi kushuhudia hali kama hii pale Kalemie, DRC ( Zaire) kwenye duka la kuuzia vitenge ambapo malundo ya noti yalikuwa yamepangwa pembeni ya chumba peupe tu bila hata ya ulinzi!
 
tunakoelekea nahisi tutafika tu! baada ukilinganisha na pesa nyengine, basi pesa yetu inazidi kushuka tu kila mara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom