jamani hii kweli imetokea Dar??

kamonga

Senior Member
Feb 13, 2008
170
195
Nilikua napitia blog flani nikakutana na habari kua binti mmoja wa aliyewahi kua waziri hapa Tz amechomwa visu na mpenziwe cjui mume au mchumba, baada ya kumfamaniwa mume/mchumba wake na demu mwingine aliamua kumwaga mafuta ya taa na kuchoma nyunba ya jamaa kisha akaondoka. jamaa alipata hasira na kumfuata home yule binti na kumchoma visu mpka akazimia (yy alidhani kaua) akatoa taarifa kwa watu wakawahi kumuokoa binti. nimejaribu kufatilia kila kona ya magazeti cjapata stori hii!! je ni ukweli? ntapata wapi full story kwa anayejua ,plz tujuze au ndo kwa hadhi ya baba stori imekua chini ya kapeti??

=============
Haya wanauturn hii story ndio hot topic ya bongo kwa sasa,najua mama uturn bado hajaipata.

Siku chache zilizopita kuna demu flani,J ambae baba yake aliwahi kushika nyadhifa kubwa tu serikalini kama waziri mkuu,alikwenda kumsuprise boyfriend wake anaeishi maeneo ya mikocheni,
Baada ya kufika huko kwa bf wake akajikuta yeye ndo anakuwa surprised, kumbe jamaa siku hiyo alikuwa anajivinjari na demu mwingine nyumbani kwake sababu hakutegemea girlfriend wake J kwenda kumtembelea.

Basi J kwa hasira ya kumfumania mpenzi wake na huyo demu akachukua mafuta ya taa na kibiriti na kuwasha nyumba ya jamaa moto, jamaa na demu wake wote wawili wakakimbia ili kuokoa maisha yao.

Baada ya timbwili J akarudi kwake akidhani sasa issue iliyobaki ni kupelekana polisi basi, kumbe yule jamaa alikuwa anahasira nae sana kwa kumchomea moto nyumba yake. Jamaa akaenda mpaka home kwa demu ,unaambiwa akamchoma choma visu vya tumbo,yani alikuwa anataka kumuua kabisa,akaondoka akidhani J amefariki,kumbe demu alikuwa kazirai tu,watu wakamuwahisha muhimbili.

Demu mpaka dakika hii yuko muhimbili ICU kwa majeraha ya visu alivyochomwa na boyfriend wake

==================
 
Mpevu

JF-Expert Member
Nov 23, 2010
1,809
0
Ungeweka jina lake ama jina la huyo waziri wa zamani tungesaidia kudadavua, haijakaa vizuri.
 
kamonga

Senior Member
Feb 13, 2008
170
195
Hii ni posti ya kikuda na ya kimbea ndo maana imekosa wachangiaji

angalia usije uonyesha upumbavu wako hadaharani!!! hi ni habari iliulizwa kama kuna ukweli. sijaandika kukuvutia ww. elewa mtu anapotafuta kujua ukweli au la. ni kama hujui ua huna la kuongeza kula kona si lazima ujibu kitu.
 
kamonga

Senior Member
Feb 13, 2008
170
195
Ungeweka jina lake ama jina la huyo waziri wa zamani tungesaidia kudadavua, haijakaa vizuri.

bahati mbaya cku pata majina ila ngoja niende tena huko ktk source or better yet niweke link hapa
 
Darwin

JF-Expert Member
May 14, 2008
908
195
Umeeiba kule kwa binti wa umbea lakini ngoja nikusaidie iliyoandikwa

Haya wanauturn hii story ndio hot topic ya bongo kwa sasa,najua mama uturn bado hajaipata.

Siku chache zilizopita kuna demu flani,J ambae baba yake aliwahi kushika nyadhifa kubwa tu serikalini kama waziri mkuu,alikwenda kumsuprise boyfriend wake anaeishi maeneo ya mikocheni,
Baada ya kufika huko kwa bf wake akajikuta yeye ndo anakuwa surprised, kumbe jamaa siku hiyo alikuwa anajivinjari na demu mwingine nyumbani kwake sababu hakutegemea girlfriend wake J kwenda kumtembelea.

Basi J kwa hasira ya kumfumania mpenzi wake na huyo demu akachukua mafuta ya taa na kibiriti na kuwasha nyumba ya jamaa moto, jamaa na demu wake wote wawili wakakimbia ili kuokoa maisha yao.

Baada ya timbwili J akarudi kwake akidhani sasa issue iliyobaki ni kupelekana polisi basi, kumbe yule jamaa alikuwa anahasira nae sana kwa kumchomea moto nyumba yake. Jamaa akaenda mpaka home kwa demu ,unaambiwa akamchoma choma visu vya tumbo,yani alikuwa anataka kumuua kabisa,akaondoka akidhani J amefariki,kumbe demu alikuwa kazirai tu,watu wakamuwahisha muhimbili.

Demu mpaka dakika hii yuko muhimbili ICU kwa majeraha ya visu alivyochomwa na boyfriend wake
FUMANIZI LA MWAKA TANZANIA-NYUMBA YACHOMWA MOTO,MSICHANA ACHOMWA VISU.......
 
RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
2,000
Ni binti wa Joseph Sinde Warioba kama sikosei, kuna jamaa yangu askari pale O'bay yupo karibu na sakata hili.
 
Son of Alaska

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
2,813
0
huyu ju ana matatizo sana kama akwaruzani na sheria basi atakuwa na pilika mtaani-she thinks she is above the law
 
pmwasyoke

JF-Expert Member
May 27, 2010
4,162
2,000
Hayo ni mambo ya wivu katika mapenzi - sidhani kama ummarufu wa mmoja wa wahusika ni issue sana.
 
RealMan

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
2,367
2,000
Mbona mnamung'unya maneno??

J ambae baba yake aliwahi kushika nyadhifa kubwa tu serikalini kama waziri mkuu = Juni Sinde Warioba

boyfriend wake anaeishi maeneo ya mikocheni
= Michael Kida (wa Ambassador Kida)

watu wakamuwahisha muhimbili = Alipelekwa hospitali ya UWT pale Makumbusho labda Muhimbili kapelekwa baada ya hali kuendelea kuwa mbaya.

Tusubiri polisi watahandle vipi kesi hii maana ni wakubwa kwa wakubwa
 
Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,325
2,000
...Kuna BINTI aliyewahi kuwa Waziri Nchi hii?? BINTI??

Na wewe mbona unakurupuka!! Jamaa kasema Binti wa mtu mmoja aliyewahi kuwa Waziri! Hivyo hajasema Binti aliyewahi kuwa Waziri - Hivyo rudia kuisoma tena hiyo thread.
 
kamonga

Senior Member
Feb 13, 2008
170
195
Thanks for the infor kama kweli imetokea media mbona imeipa sana mgongo stori hii. kweli Tz kiboko. hi murder attempt kwa pamde zote mbili ila hawakuona umuhimu wa kuifunza jamii? hata haya magazeti ya "udaku"??? duh!!
 
Mlalahoi

JF-Expert Member
Aug 31, 2006
2,179
2,000
Mbona mnamung'unya maneno??

J ambae baba yake aliwahi kushika nyadhifa kubwa tu serikalini kama waziri mkuu = Juni Sinde Warioba

boyfriend wake anaeishi maeneo ya mikocheni
= Michael Kida (wa Ambassador Kida)

watu wakamuwahisha muhimbili = Alipelekwa hospitali ya UWT pale Makumbusho labda Muhimbili kapelekwa baada ya hali kuendelea kuwa mbaya.

Tusubiri polisi watahandle vipi kesi hii maana ni wakubwa kwa wakubwa

I wish waandishi wetu wa habari wangekuwa hapa kupata somo hii muhimu la namna ya kuripoti habari kwa uwazi
 
Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
Oct 15, 2009
834
225
Duh Udaku huu sijauzikia , ngoja nicheki facebook ya June nione kama ana update chohcote!, Ila hawa Wazanaki wana hasira sana , zamani bro wake ulikua ukimchokoza ana weza ingia porini na kuokota jiwe akakutwanga nalo, alisha wahi mtwanga hadi police na jiwe, na nusu police am pige risasi kwa hasira huku Police hajui huyu jama baba yake ni PM wakati huo.
 
Seto

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
955
195
sasa haka kadada nako ndo kujifanya kapenda au? Wacha achomwe visu hata mundu ingefaa kajitakia mwenyewe...
 
Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,438
2,000
Ugomvi wa uswazi demu ananyang'anywa simu, ushuani watu wanachoma nyumba, interesting!! anyway nawapa pole wahanga wote wa tukio hlli, mpaka hapo kila mmoja ameshajifunza jambo, ila wasisahau mambo ndio kwanza yanaanza hapo siju nani atakuwa mlalamikaji na nani mlalamikiwa, very controversial

Pia watatumia pesa nyingi kuajiri mawakili. huku ratiba za maisha zikibadilika kidogo kwa kulazimika kugawa muda kwa ajili ya kuendesha kesi.

HUO NDIO UTABIRI WANGUKWA LEO (Taarifa za kiintelijensia)
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom