Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,190
- 28,897
Kama zipo basi hata hao wanaozimwaga zinawaathiri pia. Na kama wanazimwaga ndege zinapopita Afrika, kwani wazungu hawapo Afrika? Conspiracy theories tu hizo hadithi za vijiweni za wazunguVipi kuhusu Chemtrails? Ni kweli kuna mataifa yanafanya hivyo?
We mtoto wa Lowassa mbn una act u crazy baby.Uliingizwa chaka na mwalimu wako
Kama zipo basi hata hao wanaozimwaga zinawaathiri? Na kama wanazimwaga ndege zinapopita Afrika, kwani wazungu hawapo Afrika? Conspiracy theiries tu hizo hadithi za vijiweni za wazungu
Na kama chemtrails kwa mfano ni kwa ajili ya uzazi wa mpango, basi zimewaathiri wazungu wenyewe, maana wao population zao ndio zina tatizo, sisi huku tunazidi kufyatua watoto!
Kama zipo basi hata hao wanaozimwaga zinawaathiri? Na kama wanazimwaga ndege zinapopita Afrika, kwani wazungu hawapo Afrika? Conspiracy theories tu hizo hadithi za vijiweni za wazungu
Na kama chemtrails kwa mfano ni kwa ajili ya uzazi wa mpango, basi zimewaathiri wazungu wenyewe, maana wao population zao ndio zina tatizo, sisi huku tunazidi kufyatua watoto!
Unahitaji somo refu sana.Ngoja ngoja twende taratibu jibu na hili inakuwaje hapa duniani tunapata joto kali na huko juu kuwe na baridi kali wakati joto tunalolipata huku ndo linatoka huko..??????
Basi hiyo haiwezi kuwa siri tena, kwa hiyo haiwezekani. Kumbuka kama kweli kuna chemtrails lazima iwe siri. Sasa ukimwaga chemtrails na unataka ndugu zako wapone uwape dawa nk, bado itakuwa siri? Si vema tu uutangazie ulimwengu namwaga chemtrails?But what if hao wanaozimwaga wanatambua tiba ama kinga ya kuwaepusha na madhara yake?
Sawa mkuu.Niliposema kuwa Wazoefu zaidi wataendelea Kutuelimisha hapa ulinielewa?
Basi hiyo haiwezi kuwa siri tena, kwa hiyo haiwezekani. Kumbuka kama kweli kuna chemtrails lazima iwe siri. Sasa ukimwaga chemtrails na unataka ndugu zako wapone uwape dawa nk, bado itakuwa siri? Si vema tu uutangazie ulimwengu namwaga chemtrails?
Basi hiyo haiwezi kuwa siri tena, kwa hiyo haiwezekani. Kumbuka kama kweli kuna chemtrails lazima iwe siri. Sasa ukimwaga chemtrails na unataka ndugu zako wapone uwape dawa nk, bado itakuwa siri? Si vema tu uutangazie ulimwengu namwaga chemtrails?
Nakuelewa Mkuu. Unajua ndege zote zinatoa hizo trails. Hata tukipeleka Dreamliner yetu India utaona contrails ambazo watu wanasema ni chemtrails. Hakuna ndege ya shirika lolote duniani ambayo ni jet plane na ambayo itapita eneo la baridi lenye saturated air isitoe contrail.Nakuelewa Chief, ila bado nauliza “what if” sio lazima kuokoa ndugu ila wale wa karibu zaidi (Baba,mama, watoto, wafuasi/washirika muhimu)
Ni mwaswali tu Chief, nahitaji kujifunza.
Gdabolite zamani
Kwa uelewa wangu huu mdogo, ila wanaojua zaidi watasema hii ni Ndege Kasi aina ya Concorde ambayo kwa Afrika inatua tu Cairo na Cape Town.
Na huwa naiona inapita Dodoma kila siku ya jumatano kama sikosei saa 10 jioni nimeiona toka enzi hizoKwa uelewa wangu huu mdogo, ila wanaojua zaidi watasema hii ni Ndege Kasi aina ya Concorde ambayo kwa Afrika inatua tu Cairo na Cape Town.
Huu uzi itapendeza sana kama Barafu atachangia chochote,
Wengine sisi hatujui chochote kuhusu mambo haya
Concorde baada ya kupata ajali pale Charles de Gaule airport ziliondelewa kwenye matumizi hadi hii leo.MkuuKwa uelewa wangu huu mdogo, ila wanaojua zaidi watasema hii ni Ndege Kasi aina ya Concorde ambayo kwa Afrika inatua tu Cairo na Cape Town.
nchi huwa zinamiliki ardhi hadi kwenye mipaka, maziwa, mabwawa mito pamoja na bahari. vyote hivyo vina mipaka.Samahani kuuliza, unaposema anga la kimataifa inamaanisha nn? na hua zinaelekea wapi? haziwezi tua hapa kwetu?