Jamani hebu oneni miujiza ya kijijini kwetu

Jamani hebu oneni miujiza ya kijijini kwetu

attachment.php
 
Nimeikubali hiyo popote ilipo ila dalili zinaonesha ni Shinyanga, Dodoma au Rukwa...kwa kweli nimefurahi sana
 
Hiyo mipir ina ujazo tofauti...hapo mpaka tufe zote ziingie mgongo wote unauma
 
Kweli nazidi kuamini ugumu wa maisha ni kipimo cha akili
 
ha ha ha ha....ubunifu wa kiwango cha juu sana
 
Back
Top Bottom