Elections 2010 Jamani haya matokeo ya URAISi vipi?

Makiyuve

Member
Sep 7, 2010
56
0
Jamani fuatilieni inasemekana katika majimbo 47 yaliyotangazwa inaonekana Kikwete wa kwanza, Lipumba wa pili na Slaa wa tatu!! I doubt I really doubt, I was one among the wakala's na Slaa na Kikwete ndo walikuwa wanachuana vibaya sana
 
Jamani fuatilieni inasemekana katika majimbo 47 yaliyotangazwa inaonekana Kikwete wa kwanza, Lipumba wa pili na Slaa wa tatu!! I doubt I really doubt, I was one among the wakala's na Slaa na Kikwete ndo walikuwa wanachuana vibaya sana

Mkuu ulikuwa wakala kwenye majimbo yote hayo 47
 
CHADEMA wameshindwa kwenye urais na wao ndio walikuwa watumaji wazuri wa matokeo. Wameingia mitini kwenye urais maana inaelekea JK ni 70%
 
kwa kukusaidia hayo yaliyotangazwa mengi ni ya zanziba ambako lipumba alipeta....pia kikwete sio wa kujilinganisha nae mpambane na huyohuyo lipumba kokoto mwenzenu!
 
wana nazani TUME wawe wanakagua VYETI VYA wanaojumlisha kura,SABABU WENGI INAVYOELEKEA HAWAJUI HESABU RAHISI ZA KUJUMLISHA NA KUTOA,mpaka nnavyoongea maeneo mengi matokeo hayajatoka kisa BADO WANAHESABU KURA.shame:israel:
 
Kikwete 1584543 (66%)
Dr. Slaa 469409 (21%)
Prof. Lipumba 200514 ()

INABIDI KUONA KAMA KURA ZINAZOTAJWA na NEC zinaoana na zile ambazo CHADEMA imepewa na mawakala wake huko kwenye majimbo. I can bet my last dollar - that CHADEMA is working on tallying those numbers and will release a statement.
 
JK hataweza kupata 70%. Kama unafuatilia matokea kwa sababu ambazo zinafahamika na NEC tu matokea ya uraisi kwa mikio ya kanda ya ziwa na kaskazini hayatangazwi. Ni kwa wizi tu hilo litawezekana. Na kama una uwezo kidogo wa kuchambua mambo utaona kasoro nyingi tu, mfano kuwe ushindi kwa upinzani kwa upande wa ubunge na udiwani kisha ktk jimbo hilo hilo ukute kura za uraisi zinaongozwa kwa JK. Kifupi reality inaonekana katika matokeo ya ubunge.
 
Good Bye AND Good Riddance

09_10_6zhrrw.jpg
 
Back
Top Bottom