KIDUME20
JF-Expert Member
- Mar 10, 2023
- 1,951
- 4,492
Yes, hata mimi naona hivyo mkuuuuuInawezakuwa mambo ya upinde
Yes, hata mimi naona hivyo mkuuuuuInawezakuwa mambo ya upinde
Eti ??Hizo sifa zote ni zake? Yote mazuri sana infact yuko perfect. Ila mapenzi ni upofu.
Halafu kwani nani? Anakuchukia humu? Unamchukiaje mtu humfahamu?
Hamna mtu anayemchukia ila hatupendi madume kutumia id fake za kike mkuuuuHizo sifa zote ni zake? Yote mazuri sana infact yuko perfect. Ila mapenzi ni upofu.
Halafu kwani nani? Anakuchukia humu? Unamchukiaje mtu humfahamu?
huwa inasemwa mtoto wa kike akikosa akili kiumiacho ni tupu yake.Hili ni kosa kubwa sana kwa Wanawake wa Ki-Tanzania...bila shaka huwa wanadanganyana kwenye Ma-Group yao ya WhatsApp...Na huwa wanaamini wanaume wote wanazo pesa.....watakunulia gari, viwanja na Nyumba. Sijui kuna Mwalimu gani huko..Kweli Maisha ni Magumu.
Kumbe ni lidume linajifanya kubebisha?Hamna mtu anayemchukia ila hatupendi madume kutumia id fake za kike mkuuuu
Yes mkuuu ulikuwa hujui au?Kumbe ni lidume linajifanya kubebisha?
Khaaaa usiniambieHahah to be honest I have said to people I am German. Ila Sasa sijawah paka nywele piko. .
Tumsubiri aje apinge, atupe ukweliYes, hata mimi naona hivyo mkuuuuu
Ona wewe, hata haukaushi[emoji3][emoji3][emoji3]hizi sifa unazo kwel
watu mnasiri jaman,kumbe wewe unasifa zote hizo na bonge la bwana + mtonyo,alafu sijuiOna wewe, hata haukaushi[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]penzi jipya halijamuacha salama
Kwani haujawahi kupitwa na gari la mshahara[emoji3][emoji3][emoji3]watu mnasiri jaman,kumbe wewe unasifa zote hizo na bonge la bwana + mtonyo,alafu sijui
Yeyote yule awaye, hongera zake kwa kukupata 😊Sio yeye mkuu
sijawahi kuona hata bukuKwani haujawahi kupitwa na gari la mshahara[emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu ni dume mkuuu sio jikehuwa inasemwa mtoto wa kike akikosa akili kiumiacho ni tupu yake.
Unakwama wapi, hata uzi basisijawahi kuona hata buku