Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 37,025
- 73,662
Hee kweli nimeshangaaAngalia hii thread 👇👇👇👇 comment ya 30 na 36 Wanawake kuweni wasafi
Hee kweli nimeshangaaAngalia hii thread 👇👇👇👇 comment ya 30 na 36 Wanawake kuweni wasafi
Wewe mwenyewe ni tusi tosha, unafkr nitakutukana basi!Yapi?? Ukiota shida wewe Malaya so tukueleweje??
Mi sikuelewi unatakaje maana kunagroup la wanawake wanatumana kumdhihaki mwingine Sasa sijui wanatakaje humu kila mtu anauhuru wakuchart na Kwa mimi sitofunga ID yangu nitakuwa nayo humu siibadilishi Kwa ajili ya mtu yeyote wataniona humu hadi niwe busy so wao watajipa wenyewe watajijuaWewe mwenyewe ni tusi tosha, unafkr nitakutukana basi!
ahahahahhaha