Jamani, have been surprised with my long term habibi

Jamani, have been surprised with my long term habibi

na anamshiko kama yeye walahi
Hapa ndio pamuhimu, Hebu kapuku mimi nijitulize zangu!

Jini huyo we chekelea tu,shyombeshyombe gani tokea JF

we nakwambia Unaolewa na JINI badala uje PM yangu M'bongo mwenzio

unaenda tunuku majini,utanikumbuka nakwambia Handsome Jini huyo,Muache njoo am single with no mshiko.
 
make kwanza hapa nicheke😂😂😂😂😂
Nakunyw chai hapa nayo naona inanicheka🤣🤣
20230317_211633.jpg

mchaga tangu lini akawa fundi kitandani
Hakuna ufundi zaidi ya kuiangukia 😬😬😬
IMG-20230316-WA0000.jpg


msichokijua huwa napewa kwa huruma tu. Wanawake wote wanaonipa wananihurumia tu nikilalamika sana😍
 
Hapa ndio pamuhimu, Hebu kapuku mimi nijitulize zangu!

Jini huyo we chekelea tu,shyombeshyombe gani tokea JF

we nakwambia Unaolewa na JINI badala uje PM yangu M'bongo mwenzio

unaenda tunuku majini,utanikumbuka nakwambia Handsome Jini huyo,Muache njoo am single with no mshiko.
Hahaaa Sasa tutakula Nini??
 
Nimekaa tu zangu home nilikuwa nimechill home basi nikaona simu nipo maeneo yenu , nikasema powa , nani jamani yule Mtu tumuite shado , humu Kuna siku Mtu alikuwa ananidis sana nawengine wakaniita Malaya , before mengine , kumbe mmenipamba sio mmenichafua.

Ilikuwa surprised sana KUONA kijana anasema ni PM nikasema ni wale wale tu nikavunga ila mwaka huu nikasema why not ngoja ni mpe tu nafasi mwana,nikamtext after 1 week akadai naomba namba ya simu , [emoji39][emoji2957] nikampa , .

Almost 1 week akaja akanitext upo sehemu powa nikajibu ndio , akaanza kunicall sikupick maana nilikuwa nipo busy na kupika maandazi , HUMU JF sijawahi kupata mwanaume so unique, kind , special na anamshiko kama yeye walahi , na jingine nimeongea truth tu kuwa Hana demu na haingiagi humu mara Kwa mara na nimekaa naye tufew days charting, kweli Kuna msemo , mmoja ukitaka kitu lazima ukiget , mwana majuzi idd kaja home kwetu around 1pm saa Saba akatua kwetu sio stendi nje ya nyumba yetu nilimueleza mengi nakumpa direction sijawahi mvulia sidiria Wala Pichu but wewe ni amazing , mtoto sio mtanzania mtoto ni half american plus German bibi ni mgermany Babu muamerica , mama yake mtz weeh , bonge la handsome boy sio baunsa Wala ni tall kiasi, mweupe , na nimwembamba kaja kwetu kaulizia mama , saivi ninavyokuambia katoa kishikizo uchumba next week ndio atakuja rasmi akitoka porini tukae nimfahamu ila kasema anakuja home au mahali popote niwe na ndugu yangu au mama , .

Ili visitendeke maajabu , aoe kitu hakijui akija nitashukuru sana walahi , kaniachia mzigo wa Mimi kuenjoy ,Sasa mtajiju kama mnanichukia huku siami maana hiyo sio Moja tu watu wameleta wengine wawili posa huyu mwamba haelewi kiswahili vizuri hadi asome hii post kachoka sana ..... Mashallah nyie waislamu mmeniletea baraka jamani , ni mzuri sana sana
Halafu huu uzi ni chai tu
 
Utoto raha sana. Kabla sijajiita German Machine nilishawah jiita Virus[emoji1787][emoji1787]

peaceful lady mbona jina zuri sana. Ulikuw ukiandika barua mwishon unajiandika peaceful lady[emoji3]
[emoji38][emoji38][emoji38]hapo kwenye virus umetisha gily
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom