Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
- Thread starter
- #81
Ana ID INGINE[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]hata mimi nimemuwaza yeye
Ana ID INGINE[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787]hata mimi nimemuwaza yeye
Sawa broSawa ila wewe utampenda uwapendao mie nitampenda anipendaye , kwani wewe shida iko wapi nikipendwa ili mradi nimempenda umeona lini siku za Kati nalala Mika hakuna
namzingua tu mtani wangu huyoAna ID INGINE
Sio yeye mkuuMkuu Half american umeweka nywele wave, na kuzipaka piko. Kisha unamdanganya Binti wa watu wewe ni zao la Ujerumani? 😅😅😅
[emoji3]penzi jipya halijamuacha salamaSasa ndio unianzishie uzi kabisa!!
Tumekuelewa [emoji1][emoji23]EPUKA MATAPELI JF HAMNA MWANAMKE WOTE HUKU NI MEN
Mama mzaa chema ni mtz Babu yake mzaa baba ni mwamerica na bibi mzaa baba yake ni mgermany my dear nauwakika huo maana ameluja na kaka zake😀😀😀😀😀 bibi mgermany babu mu america mama mtz
Mi hoi
Hongera mwaya
Bye , tutakuja kumsalimia bossy🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Sawa broBye , tutakuja kumsalimia bossy
Sawa broMama mzaa chema ni mtz Babu yake mzaa baba ni mwamerica na bibi mzaa baba yake ni mgermany my dear nauwakika huo maana ameluja na kaka zake
Tunahitaji ufafanuzi wa kina
Ila we jamaa😂🙌
Huyo ni dume mkuuuu ana wachezeaTunahitaji ufafanuzi wa kina
Angalia hii thread 👇👇👇👇 comment ya 30 na 36 Wanawake kuweni wasafiTunahitaji ufafanuzi wa kina
Inawezakuwa mambo ya upindeAngalia hii thread 👇👇👇👇 comment ya 30 na 36 Wanawake kuweni wasafi
🤣 unatokea munich sio au berlinHahah to be honest I have said to people I am German. Ila Sasa sijawah paka nywele piko. .