Jamani hapa kuna mapenzi kweli?

Ishu za kujitambulisha anasema tusubiri kwanza mpaka akishapata chumba na furniture..
 
Wanawake wa siku hizi mostly ni Omba Omba hata kama angekua na kazi ya uhakika nakwambia ungeumbwa tu.

Naona huna shida kwenye kutoa pesaa shida unaiona kwa manzi kugoma kuishi na wewe.

Yani usizunguke sana Mzee,Hamna mwanamke hapo kakupendea vi cent vyako.

Mpangie chumba uone utamgonga mara 1 tu kwenye hicho chumba baada ya hapo atamleta mdogo ake (hata wa kufake) kufika kwake ndio sahau tena.

Mtaendelea kukutana mnapokutania siku zingine.. Jiongeze acha ulofa Wanawake wote hawa na wewe!
 
Naona unamkoki muhun ajichanganye kama shabani Kaoneka acha hizo buanaa
 
Ishu za kujitambulisha anasema tusubiri kwanza mpaka akishapata chumba na furniture..
Piga chini brother, narudia tena, PIGA CHINI.
Huyo demu hakupendi, ana msela wake wa malengo wewe anakupa papuchi kisela huku aki enjoy pesa zako. Utakuja pigwa na kitu kizito kichwani mzee baba. Labda kama kugonga uendelee kugonga kisela tuu.
 
Ishi humu mzee. Mwamba kamaliza kila kitu.
 
Kuna wakuu ni majasiri sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787].miezi mitatu tuuuu
 
Sasa kinachonisikitisha ninapompa taarifa za kuvunja uhusiano analalamika na kunilaumu nimemchezea na kumpotezea mda. Wkt in reality yeye ndio naona anataka kunipotezea mda sasa...
 
Sasa ntamsubiri mpaka lini na mm umri unazidi kusonga. Nampiga chini tu. Kama ipo ipo tu
Wee nae jiongezee, muambie hivi ni sawaa nakupangia chumba na furnitures, ila nataka nkajitambulishe kwenu na nitoe mahari ili uwe mke wangu halali. Akikataaa wee chapaa labaa na usigeuke nyumaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga chini brother, narudia tena, PIGA CHINI.
Huyo demu hakupendi, ana msela wake wa malengo wewe anakupa papuchi kisela huku aki enjoy pesa zako. Utakuja pigwa na kitu kizito kichwani mzee baba. Labda kama kugonga uendelee kugonga kisela tuu.
Analalamika nimempotezea mda na kumchezea
 
Mwanamke anayeambiwa hayo ndio kwanza ana miaka 21
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…