Jamani Gari hili la mwaka gani? Ninaliuza kwa mwenye kutaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Gari hili la mwaka gani? Ninaliuza kwa mwenye kutaka

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 25, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Hili Gari lipo katka good condition ninaliuza shilingi million 5 Tanzania shilingi kwa mwenye kutaka awasiliane na mimi Mzizimkavu.
   
 2. Achahasira

  Achahasira JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 1,219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu MziziMkavu naona unaisaka pesa kweli kweli. hehehe
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,151
  Likes Received: 2,112
  Trophy Points: 280
  unauliza ni ya mwaka gani halafu unauza. sasa kama mtu akikuhoji particula zake utajibu nini wakati hujui
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Achahasira na hilo behewa la Treni ninaliuza shilingi Millioni 1 kwa mwenye kulitaka...............anione mimi.


  [​IMG]
   

  Attached Files:

 5. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hizi gari bado zipo duniani, kama Bedford hizi, naona uuze scrap utapata
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu ntamaholo mimi sina shida ya kujuwa hilo Gari particula zake mnunuzi ndie atakae jua kila kitu mimi shida yangu ni pesa tu.

  Mkuu MadameX ni kweli nikiuza hayo Ma Scrap nitapata pesa si unajuwa mjini ni shule?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Achahasira kwani hilo lori halifai kubeba mkaa mjini hapo DareSalama?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Hili litakuwa ni Limousine muundo wa tipper la kwaka 1992. Hiyo bei ni negotiable?
   
 9. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Genecius Tukikubaliana hata kwa shillingi Million 4 na laki tano nipo teyari nitakupa.Gari linayo Garranti ya muda wa siku moja tu tangu uliponunuwa nikikubidhi ukiondoka kwangu Garranti imekwisha Expire mkuu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. F

  Fofader JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Mzizimkavu sioni gari, naona chuma chakavu. Ni kilo ngapi?
   
 11. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Mkuu Fofader Ninakuona umeshazeeka unaliona Gari unaliita chuma chakavu hahahahah umenichekesha sana ahahahh :teeth::teeth::teeth::focus:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Haha ha ha.... mkuu naona unaleta utani kwenye biashara.
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  mkuu Sunshow Sileti utani kwenye Biashara sasa jamaa anasema chuma wakati anaona kwa macho yake kuwa ni Gari ? au unaonaje chuma au gari? hebu angalia gari zingine hizi pia ninauza.... Bei maelewano pia.
  chagua wewe mwenyewe unayoitaka moja kati ya hizi........


  [​IMG]  [​IMG]
   

  Attached Files:

  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. GIUSEPE

  GIUSEPE JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama sikosei hii ni Austin.
   
 15. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Ndio GIUSEPE ya Mwaka gani hiyo austin?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. GIUSEPE

  GIUSEPE JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Itakuwa miaka ileeeee! ya unga wa njano.
   
 17. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  gari lako unauliza la mwaka gani,pili lmeliwa sana na mchwa halifai hata kwa chuma chakavu.
   
 18. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  enzi hizo ukiwa nay haya wewe mtu kati ya watu na mnakuwa nayo machache lakini siku hizi kila mtu ana gari mpaka ya maboksi yapo kibao.
   
 19. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hana hela huyo, anaona kitu kipo juu ya rubber anasema chuma chakavu. Ngoja serious bidders waje. I hope Bumpkin Billionare angekuwepo angefika bei, he has money
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kuna watu wanapenda kutunza magari mabovu! Hata liwe bovu kiasi gani analitunza tu miaka! Bora wangekuwa wanawauzia vyuma chakavu labda wizi wa mifuniko ya mitaro barabarani ungepungua.
   
Loading...