Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,409
- 33,287
Hili Gari lipo katka good condition ninaliuza shilingi million 5 Tanzania shilingi kwa mwenye kutaka awasiliane na mimi Mzizimkavu.
Mkuu ntamaholo mimi sina shida ya kujuwa hilo Gari particula zake mnunuzi ndie atakae jua kila kitu mimi shida yangu ni pesa tu.unauliza ni ya mwaka gani halafu unauza. sasa kama mtu akikuhoji particula zake utajibu nini wakati hujui
Mkuu MadameX ni kweli nikiuza hayo Ma Scrap nitapata pesa si unajuwa mjini ni shule?uza scrap utapata
Mkuu Achahasira kwani hilo lori halifai kubeba mkaa mjini hapo DareSalama?mkuu MziziMkavu naona unaisaka pesa kweli kweli. hehehe
Mkuu Genecius Tukikubaliana hata kwa shillingi Million 4 na laki tano nipo teyari nitakupa.Gari linayo Garranti ya muda wa siku moja tu tangu uliponunuwa nikikubidhi ukiondoka kwangu Garranti imekwisha Expire mkuu.Hili litakuwa ni Limousine muundo wa tipper la kwaka 1992. Hiyo bei ni negotiable?
Mzizimkavu sioni gari, naona chuma chakavu. Ni kilo ngapi?
mkuu Sunshow Sileti utani kwenye Biashara sasa jamaa anasema chuma wakati anaona kwa macho yake kuwa ni Gari ? au unaonaje chuma au gari? hebu angalia gari zingine hizi pia ninauza.... Bei maelewano pia.Haha ha ha.... mkuu naona unaleta utani kwenye biashara.
Hili Gari lipo katka good condition ninaliuza shilingi million 5 Tanzania shilingi kwa mwenye kutaka awasiliane na mimi Mzizimkavu.
enzi hizo ukiwa nay haya wewe mtu kati ya watu na mnakuwa nayo machache lakini siku hizi kila mtu ana gari mpaka ya maboksi yapo kibao.mkuu Sunshow Sileti utani kwenye Biashara sasa jamaa anasema chuma wakati anaona kwa macho yake kuwa ni Gari ? au unaonaje chuma au gari? hebu angalia gari zingine hizi pia ninauza.... Bei maelewano pia.
chagua wewe mwenyewe unayoitaka moja kati ya hizi........
Mkuu Fofader Ninakuona umeshazeeka unaliona Gari unaliita chuma chakavu hahahahah umenichekesha sana ahahahh :teeth::teeth::teeth::focus: