kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,341
- 12,068
Tatizo la huko ni kukata k.i.s.im.iTake your time nenda Mbulu, kuna kuku wa kienyeji wa level hizi na zaidi, ila lazima uwekeze kidoogo kwenye usafi wake na pamba hutaona kama kuna haja ya kwenda Ethiopia wala Rwanda, Tanzania tumejaaliwa kwa kila kitu ila ni wavivu wa ku-exploit, kwasababu mmezoea ku-import hata penseli basi nendeni Ethiopia mtuache tulioziona fursa