Jamani ethiopia...

Jamani ethiopia...

Haya mkuu, vp mpira unatizamia wapi? nyumbani hapanogi ila chunga usitumie kigezo cha worldcup kutoka njia kuu..


Mkuu hapana kutoka njia kuu ni mwiko hata kama kuna kuangalia kombe la dunia nje utafiti na Ntuzu ndo nafikiri watachepuka kwa kisingizio cha world cup aise
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ntuzu hatuhitaji Ngetwa ila natural power zinatosha maana hao hawajazoea mikiki mikiki ya vijana wa mjini ila kitu natural unakifundisha mwenyewe
Mkuu utafiti usije sahau kuwa leo sio weekend aise ukachepuka
cc Mndengereko, sungura1980, Kibo10 na BATTO

Mr Rocky utafiti leo mazigira yake yamekaa vizuri tu
Ataaga anaenda kujoin na washikaji kucheki world cup
Bonge la nafasi yani lazima uonekane umepita njia kuu tu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom