Kwa hiyo wewe uliyepoteza ndugu yako kutokana na mgomo unasemaje ni vema yale aliyofanyiwa Dr. Ulimboka?
Kwa hiyo wewe uliyepoteza ndugu yako kutokana na mgomo unasemaje ni vema yale aliyofanyiwa Dr. Ulimboka?
Mnaanza hapo...Wana jamvi,
Naomba kuuliza alipo Dr. Ulimboka. Mara ya mwisho nilimsikia alivorudi toka matibabu. Tukasubiri press conference lakini hadi leo sijasikia allishia wapi.
Mtu yeyote mwenye kujua huyu bwana yuko wapi na anafanya nini sasa hivi anisaidie.
Labda wengine mtaniuliza kwanini nauliza au ananihusu nini.
Kiukweli nimemkumbuka tu kama binadam mwenzangu na kwa vile habari zake zilivuma enzi hizo sio vibaya kujua anaendeleaje huko alipo.
la
lakini wao nao si walikuwa na madai yao?
la
lakini wao nao si walikuwa na madai yao?
sio haki mkuuNi Haki Askari Magereza kugoma Kulinda Wafungwa kwa kuacha wazi Mageti ili Wauaji, Wabakaji na Majambazi kutoroka na kuja kusumbua Mitaani kwa kuwa tu wana madai Yao Serikalini?
sio haki mkuuNi Haki Askari Magereza kugoma Kulinda Wafungwa kwa kuacha wazi Mageti ili Wauaji, Wabakaji na Majambazi kutoroka na kuja kusumbua Mitaani kwa kuwa tu wana madai Yao Serikalini?
sio haki mkuu
sio haki mkuu,lakini kama RC ana haki ya kumweka ndani daktari ww huoni hiyo ni hatari na udhalilishaji mkuu ?Ni Haki Askari Magereza kugoma Kulinda Wafungwa kwa kuacha wazi Mageti ili Wauaji, Wabakaji na Majambazi kutoroka na kuja kusumbua Mitaani kwa kuwa tu wana madai Yao Serikalini?
Hata kama lakini sheria inasema wanatakiwa ktk kudai kwao mgomo usiwe na madhara kwa wagonjwa kama vifo kitu ambacho ni inevitable.la
lakini wao nao si walikuwa na madai yao?
sio haki mkuu,lakini kama RC ana haki ya kumweka ndani daktari ww huoni hiyo ni hatari na udhalilishaji mkuu ?
sawa mkuu, lakini RC atakuwa amehusika kuuwa indirect kwa sababu kwa kumweka ndani daktari wagonjwa wanakosa huduma ya huyo daktariUnaweza kufananisha udhalilishaji na Uuaji?
RC atakuwa kadhalilisha hajaua lakin Kugoma kumsaidia Mgonjwa Mahututi ni kumuua!
sawa mkuu, lakini RC atakuwa amehusika kuuwa indirect kwa sababu kwa kumweka ndani daktari wagonjwa wanakosa huduma ya huyo daktari
Unatambua kuwa madaktari kama wafanyakazi wana haki ya kugoma? Unaniombea niwe na mgonjwa halafu madaktari wagome, mimi nakuombea ukafanye kazi yenye malipo kiduchu ili ujifunze kuwa kuna wakati inabidi udai haki yako kwa namna ambayo itawaumiza waajiri wako na wateja. Mimi sipo ktk sekta ya afya wala sina maslahi ya moja kwa moja zaidi ya kuwa mgonjwa mtarajiwa, sipendi niende hospitali nikose huduma, lakini sipendi zaid dhuluma zinazofanywa na dola dhidi ya mtu mwenye haki na jambo fulani. Dhuluma za namna hiyo zikiendekezwa, sisi watoto wa maskini tusio na connection za chama tutapata shida sana.Nakuombea kwa Mungu Siku ukiwa na Mgonjwa wako wa karibu sana ndipo na Madaktari nao wagome ndio ujue hasa Madhara ya Yule Muuaji Ulimboka ambae hakupaswa kuwa anaishi mpaka sasa!
Kuna Mama/Dada/ wake wa Watu wamefia kwny Ward za uzazi kwa kukosa tu daktari wa kuwafanyia Operation ndogo sana ya Uzazi!
Dhulma na hujuma aliyowafanyia Wanyonge wa Nchi hii hakika atasimama kujieleza Mbele ya Mwenyezimungu
Kwani yy alifanya kosa gani Kama ngomo ule ulifuata taratibu zote za mono... Unatakiwa kuilaumu serikali kwakushindwa kutimiza wajibu wake... Nasi kufuaraia mtu kuteswa vileNakuombea kwa Mungu Siku ukiwa na Mgonjwa wako wa karibu sana ndipo na Madaktari nao wagome ndio ujue hasa Madhara ya Yule Muuaji Ulimboka ambae hakupaswa kuwa anaishi mpaka sasa!