Acha watu wapige heraaa..Kila mbuzi anakula majani yanayomzunguka
UNAFKIRI kuna asichojua RAIS mkuuu?? anajua hadi umekula nini jana usiku...Anatulia Tu maana sehemu zingine kawapa watu wapige hela makusudi.Mkuu, wageni wanakamuliwa pesa ile mbaya, sijui kama raisi wetu analijuwa hili.
Sio zangu nimezinakili baada ya kuona ni nyingi na maudhui yake yanafanana
Sio zangu ni C & CDah..Hata wewe unalalamika? washushe mbupu bana..
Sent using Beretta ARX 160
Mwambie huyo uliyekuwa karibu naye hpo lumumba unatuambia sisi tena?Yaani hao sijui kwanini hawajiongezi haswa kiteknolojia ni majanga matupu.. mtu ukiwa unajua ya teknolojia unasikitika sana kuona waliyonayo..
Alafu eti awamu hii upigaji hakuna
Mkuu, wageni wanakamuliwa pesa ile mbaya, sijui kama raisi wetu analijuwa hili.
Mwambie huyo uliyekuwa karibu naye hpo lumumba unatuambia sisi tena?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu eti awamu hii upigaji hakuna
Wakati watz upigaji ndiyo jadi yao
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
UNAFKIRI kuna asichojua RAIS mkuuu?? anajua hadi umekula nini jana usiku...Anatulia Tu maana sehemu zingine kawapa watu wapige hela makusudi.
Mwambie huyo uliyekuwa karibu naye hpo lumumba unatuambia sisi tena?
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hizi taratibu unafanya mwenyewe tena online na pesa unalipa hta kwa simu. Nimefanya mimi January sikutoa hata senti kwa hao watu, zaidi tu nilienda wanielekeze sehemu baada ya kukwama na nikamaliza kila kitu baada ya hapo.Hao ndo BRELA bhana,
Ni kitega uchumi cha watu, nimeandikisha jina la biashara naambiwa nitoe Tsh 30,000/= ili nishughulikiwe haraka. Unaongea na mtu yeyeto mwenye kitambulisho au wale walinzi wao GEMA security. Au kuna mtu anaitwa Teacher unapata certificate baada ya siku mbili.
Lyandembela1
Nawasilisha
Sio mada zangu nimekopi na kupesti tuuNilifanya application tarehe 18 mchana saa 7 tarehe 19 saa 12 asubh certificate ikawa tayariView attachment 1050480
Sent using Jamii Forums mobile app
Tz bado sana walisema Brela sasa ni digital lakini hata kwa hard copy bado hawajaweza.Unapeleka nyaraka zinakaguliwa unazndikiwa ukalipie bank ! Baada ya kulipia na kukata risiti unapeleka nyaraka na hapo ndo utakoma maana utaambiwa njoo baadaya siku saba ukienda utaambiea kesho kutwa hapo utazunhushwa hata mwezi then unarudishiwa nyaraka zako eti umekosea kaanze upya ! Jirekebisheni ama tuwataje humu!
DuuHao wanachaji elfu 50 kutaka kujua kama jina la kampuni limeshatumika au la.. eeeeh elfu 22 kusechi tu. Ni majanga
Wataje, hapa kazi tu washughulikiwe mapema.Unapeleka nyaraka zinakaguliwa unazndikiwa ukalipie bank ! Baada ya kulipia na kukata risiti unapeleka nyaraka na hapo ndo utakoma maana utaambiwa njoo baadaya siku saba ukienda utaambiea kesho kutwa hapo utazunhushwa hata mwezi then unarudishiwa nyaraka zako eti umekosea kaanze upya ! Jirekebisheni ama tuwataje humu!