Jamani brela wanaboa

Jamani brela wanaboa

Huu ujinga wa BRELA upo mpaka awamu hii dume?
Siamini. Ngoja tuweke mtego watu wamepungua Segetea
 
Niliomba leseni,nikaambatanisha vitambulisho vya mkurugenzi
jamaa likasema linataka saini ya mkurugenzi
Nikamuuliza hivi fomu za bakhresa au Ipp ana saini mengi mwenyewe
Hii ni kazi yangu na ofisi imenipa mamlaka kea barua hii,jamaa likanuna,likapoteza file langu,nikajaza upya nikamwambiahili likipotea bosi wako Kakwezi atalitafuta kwa mikono yake
 
Pale pana shida sana sijajua tatizo ni nini watu wanapokuja ni hela hizo kwa Serikali ninyi hamjui kabisa...ila sehemu nyingi ni tatizo kuna ishu ya mtandao wa TRA kuwa chini upo border unataka ulipie uondoke utasubiri mtandao urudi siku nzima maagent wapo busy kuulizia umerudi bongo shida sina mifumo ya kupokea hela ni ya ujanja ujanja mpaka Serikali inakosa mapato stahiki...
 
b8b7d751-64a7-4f60-aba9-e26ef1a41fd4.jpg
 
Back
Top Bottom