Unri ndyo nn?Unri kama wako sio
Hivi ukiandika wosia si unauficha watu wasiuone??
Ukifa watajuaje ulipo?
Hata mtt wa miaka 7 anamuuwa huyo paka! anabeba fedha sabuni ya rohoNilishaandika kitambo na kuwaambia nishawaambia, nikifa nusu ya mali waiuze pesa iwekwe benk kwa ajili ya Paka wangu ale chakula kizuri na matibabu (kwa kupata minyoo tu hakajambo) mpk siku na yeye akifa au pesa zikiisha.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
lazma will iwe na Proof ya mwanasheria, na mwanasheria anakua na copy, so ukifa ye ndo anakuja na ushahidi maana ni kazi yake kusimamia ulicho kiandika kitekelezeke. so will haifichwi bali hukaa kwa mwanasheria.Hivi ukiandika wosia si unauficha watu wasiuone??
Ukifa watajuaje ulipo?
lazma will iwe na Proof ya mwanasheria, na mwanasheria anakua na copy, so ukifa ye ndo anakuja na ushahidi maana ni kazi yake kusimamia ulicho kiandika kitekelezeke. so will haifichwi bali hukaa kwa mwanasheria.
Hivi ukiandika wosia si unauficha watu wasiuone??
Ukifa watajuaje ulipo?
yess, yule ambae anatambulika kisheria. kuna wapo wamebobea kene izo fani lakin nadahan mwanasheria yoyote anaweza kusimamia ili mradi tu anatambulika kwa mujib wa kanuni na vigezo vya fani yakeAnhaaa.. mwanasheria yoyote?
Unaweza kuuhifadhi kwa mwanasheria wako au benki yako na juu ya bahasha huandikwaHivi ukiandika wosia si unauficha watu wasiuone??
Ukifa watajuaje ulipo?
Unampa mtu ambaye si part ya wosia .. kwa mwanasheria pia...Hivi ukiandika wosia si unauficha watu wasiuone??
Ukifa watajuaje ulipo?
Unaweza kuuhifadhi kwa mwanasheria wako au benki yako na juu ya bahasha huandikwa
"TO BE OPENED ON THE EVENT OF MY DEATH"
Sent using Jamii Forums mobile app
yess, yule ambae anatambulika kisheria. kuna wapo wamebobea kene izo fani lakin nadahan mwanasheria yoyote anaweza kusimamia ili mradi tu anatambulika kwa mujib wa kanuni na vigezo vya fani yake