doctorz
JF-Expert Member
- Aug 10, 2010
- 916
- 230
Nilikuwa chuo wakati ninaishi na uncle wangu OBay. Uncle alikuwa na binti mmoja tu aitwae Jaquillin na alikuwa mkubwa kwangu na anafanya kazi Tanesco. Untie alikuwa amefariki.
Siku moja alikuja rafiki yake Jaquilin toka Shinyanga aitwae Roda kwa siku chache. Wote walikuwa wana lala chumba kimoja. Asubuhi walipokuwa wana andaa breakfast, walikuwa hawajui kuwa nawasikia, Jaquilin akamu uliza Roda, Umelala wapi jana? Roda akajibu; Nilikuwa kwa Mike nikimfundisha kufanya project yake ya college. Wote wakacheka sana.
Jaquiline akaenda zake kazini
Mara akaja rafiki yake Roda aitwae Pili. Walikuwa hawjui kuwa mimi sikuenda college, Waka anza kuzungumza juu ya Uncle kuwa wana muonea huruma toka afiwe na mkewe. Lakini Roda akasema kuwa jana yake alikuwa amemfariji usiku kucha na kutokana na hali ilivyo atarudia tena kwani alikuwa fresh.
Nika udhika sana kwa nini alinisingizia kuwa alikuwa na mimi kumbe alikuwa na uncle.
Juzi tena nika kumbushwa kuhusu siku huyo Roda aliponifundisha project. Kwa nini ananisingizia .!!!!!!!????
Nisaidieni.