Jamani akina dada tuhurumieni basi hata kidogo.....,

Jamani akina dada tuhurumieni basi hata kidogo.....,

We ushabanjua mzigo badala ya kusepa usashangaa mpaka unapigwa mizinga! Hao dawa yao ni moja tu unagegeda kisawasawa alafu unaachana nae siku akikutafuta kabla hata hayajamjia mawazo ya mzinga anakuwa kammiss kwanza Athumani Kichwa Wazi basi mzee unagegeda tena mara mbili yake alafu unakula kona! Binafsi zaidi ya gharama za mtoko kulipa huwa wanaambulia nauli tu na kila tukikutana lazima nigegede!
 
Kuna mkaka mmoja analalamika anachunwa na mdada, sasa maumivu ya kuchunwa yamezidi...anauliza afanyeje?

Huyo mkaka ni mwanaume........au ni mvulana tu wa kawaida.......?
 
Kama siku zingine unampatia na ikatokea huna na ni kweli ukimweleza kwanini asiadmmit hiyo hali?

Huyo atakua si mwelewa tena hana shukrani...tupa kulee
 
Ukiona hivyo kimbia fasta. Atakuperekesha acha tu, wewe jifanye bingwa wa kubembereza uje uone mzike wake!! Ila kama ni kamdori kakuchezea tu, endelea kubembeleza ili uwe unamsogeza karibu unae mwandaa kuwa wife.
 
Huyo mkaka ni mwanaume........au ni mvulana tu wa kawaida.......?

Mmmh! dokta nadhani ni mvulana tu wa kawaida,angekuwa mwanaume angeshafanya maamuzi magumu kitambooo!!
 
nenda msoma ukapewe kozi ya kuishi na mademu, kule ukimpa afu akakurushia hela usoni! Anatandikwa had anaikota mwenyewe then anaitumbukiza mfukoni mwako mwenyewe.....tehe tehe teheeee sometime unfair actions help

Hahahhahahahahaahha. Home swty home.
 
Ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww unampoza kw maneno mazuri kuwa hauko safi cku hiyo na unampa elfu10 ambayo unayo..,loh.....,unashangaa unatupiwa uson hako ka elfu kumi....,na anasema `yaani hiyo ndo hela ya kumpa yy..,kama hautaki basi.,`na cm ukimpigia hataipokea hata wiki mpaka hapo utakapomtosheleza hitaji lake..,vp wadau imekaa vizuri kweli hii?

First & foremost, hapo kwenye red... huyo ni mjasiria-mali, just yupo kwako for funding gain, yani kukuchuna tu. Na si ajabu huo mkwanja unaoprovide huwa anapelekewa boya mwingne a.k.a third-party ambaye ndo anapendwa for real.

Back to the point... kwa mtazamo wangu wa haraka haraka (as per your maelezo), inaonekana:
A). Umeanzia mapenzi ukubwani or you are not experienced with love affairs or huwa unapenda sana kiasi kwamba unakuwa kipofu kabisa, hapa ndipo ule usemi wa 'love is blind' hujidhihirisha. So apo kwa huyo 'mchunaji' wako wewe umeshafika kabisaaa, yani umependa mpaka umekuwa kipofu wa mapenzi hadi huwezi kung'amua kama kweli nae anakupenda au just anakugeuza ATM na akishatimiza mtaji asepe zake.
EITHER
B). Huyo mwanamke sio class yako. So anakumudu wewe, badala ya wewe kumumudu yeye! Kitendo cha kususa pesa na kukutupia usoni hiyo ni ishara anakudharau na anakumudu, wala sio mapenzi. Na wewe kwa kuligundua hilo kwamba huyo mwanamke sio 'class/type' yako, inakufanya uwe inferior kwake kwa kuhofia kumpoteza na may be hutaweza tena 'kuopoa' mwingine kama huyo. Hence, anatumia fimbo iyo kukudrive. In short... ameshakuona 'foreigner'

-With best regards
 
mahusiaono ya siku hizi ni hatari,mimi sikuwa kumwomba hela boyfriend wangu,ambae sasa ni mme wangu,yaani hata sasa hivi yaani huwa simwombi,kwanza sipendi kuomba kuomba,ila napenda kuombwa,nahisi labda nina element za kiume

muongo ww!
 
hii ni laana waschana utadhani wametoka tumbo moja na hata@YUDA. wanapenda pesa kama nini, mademu kuombaomba pesa ni ushamba na ulimbukeni 2, critical girls wanamake money wenyewe bila kuhongwa
 
mahusiaono ya siku hizi ni hatari,mimi sikuwa kumwomba hela boyfriend wangu,ambae sasa ni mme wangu,yaani hata sasa hivi yaani huwa simwombi,kwanza sipendi kuomba kuomba,ila napenda kuombwa,nahisi labda nina element za kiume

Bi mdada una umri gani? In case ukiachika, nitafute pliiiiiiiiiiiz!!! :mwaaah:
 
Kuepusha nongwa, that's y mimi nimeamua MAPENZI nimuachie Ngoswe kwanza maana sipendi kuonekana mzembe!
 
mimi siachiki,tulishaapa Mbele za Mungu,kifo peke yake ndo kitatutenganisha

Viapo hutenguka!
Anyway... In case icho kifo kikawatenganisha na WEWE ukawepo, nipe usajili. :second:
 
Back
Top Bottom