Jamani akina dada tuhurumieni basi hata kidogo.....,

Jamani akina dada tuhurumieni basi hata kidogo.....,

Kwani yuko pekee asepe wapo kibao hawahitji hata pesa.

Si ndio maana kaja jukwaani kwa waungwana nao watoe mitazamo yao...akiwasoma na kuwaelewa nadhani atajua la kufanya.
 
Hahahah...mizinga huwa anatoa akiwa na fweza ila kuna wakati mirija yote inakata

huwa nashangaa mtu analalamika mpenzi wangu ananikera hivi au vile...huo ni upuuzi kama anakukera kwanza mwambie mimi sipendi hiv na hv akiendelea na mambo yake piga chini vuta kitu kipya...mi sinaga time ya kuumizwa moyo wangu...nahamia tu airtel fasta...maisha ni haya haya
who cares?
 
Na wewe ndo ukajua huyo ndo mwanamke... piga chini. Mwanamke wa ukweli atakupa moyo wa kutafuta zaidi na atapokea unachompa...

Acha ku date wanawake wa chuoni
 
Huyo hafai mkuu hata kidogo lazima atambue cku hazifanani na anstahili kibuti. But itadepend na shida yake.
 
Na wewe ndo ukajua huyo ndo mwanamke... piga chini. Mwanamke wa ukweli atakupa moyo wa kutafuta zaidi na atapokea unachompa...

Acha ku date wanawake wa chuoni
adate wake za watu atapewa na salio juu
 
Ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww unampoza kw maneno mazuri kuwa hauko safi cku hiyo na unampa elfu10 ambayo unayo..,loh.....,unashangaa unatupiwa uson hako ka elfu kumi....,na anasema `yaani hiyo ndo hela ya kumpa yy..,kama hautaki basi.,`na cm ukimpigia hataipokea hata wiki mpaka hapo utakapomtosheleza hitaji lake..,vp wadau imekaa vizuri kweli hii?

hapo huna haja ya kuumiza kichwa mkuu wewe mulika mwizi tu #MulikaMwizibyKidumu
 
Na wewe ndo ukajua huyo ndo mwanamke... piga chini. Mwanamke wa ukweli atakupa moyo wa kutafuta zaidi na atapokea unachompa...

Acha ku date wanawake wa chuoni

kuna fallacy moja huwa inawapeleka pabaya saa hasa wale wakaka waliojulia mapenzi maofisini ya kuwa watoto wa chuo ni hela na mapenzi wanajua ndio soo lake hilo sasa..
 
Hahaha...mapenzi ni kuvumiliana bhana...huyo bi mkubwa kama anapenda sana chapaa basi aombe kazi ya kuhesabu hela benki!

inatakiwa non stop mrija na yeye mrija wake ni wa msimu
 
Ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww unampoza kw maneno mazuri kuwa hauko safi cku hiyo na unampa elfu10 ambayo unayo..,loh.....,unashangaa unatupiwa uson hako ka elfu kumi....,na anasema `yaani hiyo ndo hela ya kumpa yy..,kama hautaki basi.,`na cm ukimpigia hataipokea hata wiki mpaka hapo utakapomtosheleza hitaji lake..,vp wadau imekaa vizuri kweli hii?

kila mbuzi anakula usawa wa kamba yake....

Ndugu yangu bilashaka umechukua kitu si saizi yako, ama heshima yako kwake ni ndogo, kwa sababu hata kama hauna hela isingepaswa akupige nayo usoni, hapa hujaowa, ukishaowa itakuweje.... tafuta mwenza mwengine hili jangaa..
 
Back
Top Bottom