Jamani akina dada tuhurumieni basi hata kidogo.....,

Jamani akina dada tuhurumieni basi hata kidogo.....,

Hawezi kunifanyia hivyo mtu kama mimi! Otherwise angejuta kuniomba! Sio makofi tena, yaani ni mangumi kama vile ni mwanaume mwenzangu hadi aiokote hiyo 10 na anipe mkononi!
 
maisha ni shikamoo pesa kaka....

Ndo maana jamaa amesema si kwamba hana pesa ila si kila siku anazo.. kuna wakati anatafuta. Sasa jianamke ambalo halijui maana ya maisha linakurupuka tu na kujua kila siku ni kama benki wakati siku zingine zinafungwa
 
Ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww unampoza kw maneno mazuri kuwa hauko safi cku hiyo na unampa elfu10 ambayo unayo..,loh.....,unashangaa unatupiwa uson hako ka elfu kumi....,na anasema `yaani hiyo ndo hela ya kumpa yy..,kama hautaki basi.,`na cm ukimpigia hataipokea hata wiki mpaka hapo utakapomtosheleza hitaji lake..,vp wadau imekaa vizuri kweli hii?

Tatizo hapo ni kwamba hufai tu na keshajua unamchakaza tuuu huna mpango; hivi wewe ni mtu gani huna uwezo wa kujua mahitaji ya demu wako hadi aamue kufunguka mwenyewe? mapenzi ni kukutana na mahitaji ya mwenzako kabla hata hajakutamkia sasa mpaka amekuwa na ujasiri wa kutamka si ushukuru mungu na ujirekebishe? unataka huruma gani? kama huna uwezo wa kuhudumia demu si ukae pembeni? au kutaka kwao usawa ndio unaona ni kichaka cha kufichia majukumu yako? acha hizo mazee
 
ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww unampoza kw maneno mazuri kuwa hauko safi cku hiyo na unampa elfu10 ambayo unayo..,loh.....,unashangaa unatupiwa uson hako ka elfu kumi....,na anasema `yaani hiyo ndo hela ya kumpa yy..,kama hautaki basi.,`na cm ukimpigia hataipokea hata wiki mpaka hapo utakapomtosheleza hitaji lake..,vp wadau imekaa vizuri kweli hii?

kimbia hapo.......kakugeuza mashine ya pesa!
 
Ndo maana jamaa amesema si kwamba hana pesa ila si kila siku anazo.. kuna wakati anatafuta. Sasa jianamke ambalo halijui maana ya maisha linakurupuka tu na kujua kila siku ni kama benki wakati siku zingine zinafungwa
issue ni kwamba huyu jamaa hana maamuzi? kwani amelazimishwa kuwa nae si amuache? kwani haoni?wanaume wasio kuwa na maamuzi ni janga lingine la kitaifa ujue!
 
Hawezi mwacha kwani stil anahitaji mbunye,ila kumhudumia mwenye papuchi ndo hataki,poverty is a curse 4sure
issue ni kwamba huyu jamaa hana maamuzi? kwani amelazimishwa kuwa nae si amuache? kwani haoni?wanaume wasio kuwa na maamuzi ni janga lingine la kitaifa ujue!
 
Yaani nimpe mwanamke hela aitupe chini...!!!!?
 
Ndio maana dini zote zinakataza zinaa. Mkeo wa ndoa hawezi fanya upuuzi huo.

Hayo ndio matunda ya Zinaa.
 
Waambie mzee,wanapenda mbunye za free,waoe wapate majukumu ya kuhudumia mke
Ndio maana dini zote zinakataza zinaa. Mkeo wa ndoa hawezi fanya upuuzi huo.

Hayo ndio matunda ya Zinaa.
 
Hahahaaa, kila mwamba ngoma ngozi huvutia kwake, lol
 
kila mtu atavuna alichopanda.
kama ulimpata kupitia kumhonga honga vihela ..hakikisha unazo na sio za mawazo.
 
Achana naye, hana mapenzi na wewe. Shida akina dada wengi wanapenda mteremko,hawana tofauti na machangudoa!!
 
mahusiaono ya siku hizi ni hatari,mimi sikuwa kumwomba hela boyfriend wangu,ambae sasa ni mme wangu,yaani hata sasa hivi yaani huwa simwombi,kwanza sipendi kuomba kuomba,ila napenda kuombwa,nahisi labda nina element za kiume
 
Back
Top Bottom