Awali ya yote, wewe ndo Zero-Thinker kabisa. Maelezo yako yanajieleza wazi kuwa huwa unatanguliza hasira mbele na kukurupuka ktk kutoa majibu yako. Hoja zako zimejaa jazba! Na nahisi wewe ni female.
-Unaenda saluni elfu 40!
-Unapeleka 'viwalo' dry cleaner! (hongera kwa hilo, na nahisi wewe ni mfuga kucha)
-Kwenda kwa jamaa unapanda Bajaji, tena ungepanda Taxi kabisa yenye tinted & kiyoyozi!! (hongera kwa hili pia maana hutaki kuchafuka, kubanana na kujambiana kwenye daladala)
mpaka hapo inaonyesha wewe ni sista-duu (wale wale wasiooleka). Na ndo maana nikasema kuwa inawezekama huyo jamaa kachukua demu ambae SIO CLASS/TYPE yake, that's y anamsumbua na kumpelekesha. Let say izo gharama zako apo juu: uende saluni (kwa elfu 40) mara 3 kwa mwezi; upeleke nguo dry cleaner mara 4 kwa mwezi (maana huwezi kufua, sa sijuwi ukija kuzaa na nepi za mwanao utakuwa unapeleka dry cleaner?!); upande bajaji/taxi kila kwenda kwa jamaa; n.k
Ivi kwa akili yako finyu unadhani mwanaume mwenye maisha ya kawaida tu ataweza kumudu mwanamke that type?? Oviously jibu ni hapana! So kuepusha stress, ni bora atafute mwanamke ambae ni class yake na wataelewana. Mbona kuna warembo wengi tu ambao saluni hawezi tumia zaidi ya elfu 10, anafua nguo mwenyewe (sio kwenda dry cleaner), anapanda daladala (sio bajaji wala taxi) , n.k Na maelezo ya jamaa yanasema kwamba siku ikitokea amekwama kipesa na kumpa elfu 10, huikataa na kumrushia nayo usoni kwa nyodo, na humchunia ata week nzima mpaka atapompatia pesa ya kutosha. So hayo ndo mapenzi eeeeh? nyie ndo wale wale gold-diggers. Mnatamani muishi maisha high class wakati ni unable financially.
Nina mashaka na uwezo wako wa kusoma maandishi maana maelezo yangu yalikuwa very self-explanatory.
Na Kama bado hujaelewa ninachomaanisha, basi we ni kilaza au unatafuta tuzo ya ubishi.
On the other side of the coin, why upende high maintenance wakati hauna pesa zako mwenyewe? Acha kumfilisi mwenzio kwa ulimbukeni wako wa maisha. Kuna baadhi ya wanawake wana wanaume na still hujiita Miss-Independent, hivi maana yake huwa ni nini??