Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 25,040
- 60,227
hahahahsa,kitatutenganisha nikiwa na miaka 90 huko,je utaishi na kizee?Viapo hutenguka!
Anyway... In case icho kifo kikawatenganisha na WEWE ukawepo, nipe usajili. :second:
hahahahsa,kitatutenganisha nikiwa na miaka 90 huko,je utaishi na kizee?Viapo hutenguka!
Anyway... In case icho kifo kikawatenganisha na WEWE ukawepo, nipe usajili. :second:
hahahahsa,kitatutenganisha nikiwa na miaka 90 huko,je utaishi na kizee?
mimi ikitokea hivyo siolewi tena,nina wanangu watatu nawapenda sana,sidhani kama huyo mwanaume atawapenda kama baba yao.Yes mamy, nipo tayar kuishi na kizee ili nikihudumie. Kwani ushawahi kuona gari bovu linavutwa na gari bovu jenzie?!! No, siku zote gari bovu huvutwa na gari zima.
By the way... hakuna binadamu mwenye 'mkataba' na Mungu. So it may happen kikawatenganisha ukiwa bado mlimbwende nikachukua 'mgodi' ambao nahisi 'madini' yatakuwa bado yamo. :becky:
nenda msoma ukapewe kozi ya kuishi na mademu, kule ukimpa afu akakurushia hela usoni! Anatandikwa had anaikota mwenyewe then anaitumbukiza mfukoni mwako mwenyewe.....tehe tehe teheeee sometime unfair actions help
Kaombwa elfu 30 analeta sred,umaskin ni laana
Hahaha jipange starehe garama
mimi ikitokea hivyo siolewi tena,nina wanangu watatu nawapenda sana,sidhani kama huyo mwanaume atawapenda kama baba yao.
Hapa jf hamna hata hao great thinkers mnaojinasibu nao hivi ni uchunaji gani wa vijihamsini na vijithelasini elf? nywele ya huyo demu inasukwa kwa bei gani? mafuta ya kujipaka je? sabuni na vikorokoro vingine je? hivi anapojiandaa kuja kwako aende saluni aache elfu arobaini yake, apeleke viwalo dry cleaner aache kumi na tano yake halafu achukue bajaji buku kumi kuja gest kwa mawazo yako anazitoa wapi? wajibu wako kwake ni nini? na yeye asipotekeleza wa kwake kwako inakuwaje? mnajiingiza kwenye mambo ya mapenzi kama fasheni wala hamjui mlitendalo.First & foremost, hapo kwenye red... huyo ni mjasiria-mali, just yupo kwako for funding gain, yani kukuchuna tu. Na si ajabu huo mkwanja unaoprovide huwa anapelekewa boya mwingne a.k.a third-party ambaye ndo anapendwa for real.
Back to the point... kwa mtazamo wangu wa haraka haraka (as per your maelezo), inaonekana:
A). Umeanzia mapenzi ukubwani or you are not experienced with love affairs or huwa unapenda sana kiasi kwamba unakuwa kipofu kabisa, hapa ndipo ule usemi wa 'love is blind' hujidhihirisha. So apo kwa huyo 'mchunaji' wako wewe umeshafika kabisaaa, yani umependa mpaka umekuwa kipofu wa mapenzi hadi huwezi kung'amua kama kweli nae anakupenda au just anakugeuza ATM na akishatimiza mtaji asepe zake.
EITHER
B). Huyo mwanamke sio class yako. So anakumudu wewe, badala ya wewe kumumudu yeye! Kitendo cha kususa pesa na kukutupia usoni hiyo ni ishara anakudharau na anakumudu, wala sio mapenzi. Na wewe kwa kuligundua hilo kwamba huyo mwanamke sio 'class/type' yako, inakufanya uwe inferior kwake kwa kuhofia kumpoteza na may be hutaweza tena 'kuopoa' mwingine kama huyo. Hence, anatumia fimbo iyo kukudrive. In short... ameshakuona 'foreigner'
-With best regards
Ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww unampoza kw maneno mazuri kuwa hauko safi cku hiyo na unampa elfu10 ambayo unayo..,loh.....,unashangaa unatupiwa uson hako ka elfu kumi....,na anasema `yaani hiyo ndo hela ya kumpa yy..,kama hautaki basi.,`na cm ukimpigia hataipokea hata wiki mpaka hapo utakapomtosheleza hitaji lake..,vp wadau imekaa vizuri kweli hii?
Kaombwa elfu 30 analeta sred,umaskin ni laana
Hapa jf hamna hata hao great thinkers mnaojinasibu nao hivi ni uchunaji gani wa vijihamsini na vijithelasini elf? nywele ya huyo demu inasukwa kwa bei gani? mafuta ya kujipaka je? sabuni na vikorokoro vingine je? hivi anapojiandaa kuja kwako aende saluni aache elfu arobaini yake, apeleke viwalo dry cleaner aache kumi na tano yake halafu achukue bajaji buku kumi kuja gest kwa mawazo yako anazitoa wapi? wajibu wako kwake ni nini? na yeye asipotekeleza wa kwake kwako inakuwaje? mnajiingiza kwenye mambo ya mapenzi kama fasheni wala hamjui mlitendalo.
inamaanisha ww kila unapoipeleka papuchi yako kugegedwa lazima umkamue huyo nanii wako...,if that is da case then you are in business terms....,,hapa tunaongelea kwa m2 wako..,la sivyo kutakuwa hakuna tofaut kati ya m2 wako na wale ambao wanajiuza corner bar sinza....,wacha kurukia gari kwa mbele....!!!!!:A S wink:Hahaha jipange starehe garama
Hahaha...mapenzi ni kuvumiliana bhana...huyo bi mkubwa kama anapenda sana chapaa basi aombe kazi ya kuhesabu hela benki!
inamaanisha ww kila unapoipeleka papuchi yako kugegedwa lazima umkamue huyo nanii wako...,if that is da case then you are in business terms....,,hapa tunaongelea kwa m2 wako..,la sivyo kutakuwa hakuna tofaut kati ya m2 wako na wale ambao wanajiuza corner bar sinza....,wacha kurukia gari kwa mbele....!!!!!:A S wink:
Kwa nchi hii ambayo bado ina idadi nzuri ya watu wavivu kufikiri kama huyo uliyekuwa unamjibu inahitaji watu kama ww...waelimishe hao...,:A S 20:Awali ya yote, wewe ndo Zero-Thinker kabisa. Maelezo yako yanajieleza wazi kuwa huwa unatanguliza hasira mbele na kukurupuka ktk kutoa majibu yako. Hoja zako zimejaa jazba! Na nahisi wewe ni female.
-Unaenda saluni elfu 40!
-Unapeleka 'viwalo' dry cleaner! (hongera kwa hilo, na nahisi wewe ni mfuga kucha)
-Kwenda kwa jamaa unapanda Bajaji, tena ungepanda Taxi kabisa yenye tinted & kiyoyozi!! (hongera kwa hili pia maana hutaki kuchafuka, kubanana na kujambiana kwenye daladala)
mpaka hapo inaonyesha wewe ni sista-duu (wale wale wasiooleka). Na ndo maana nikasema kuwa inawezekama huyo jamaa kachukua demu ambae SIO CLASS/TYPE yake, that's y anamsumbua na kumpelekesha. Let say izo gharama zako apo juu: uende saluni (kwa elfu 40) mara 3 kwa mwezi; upeleke nguo dry cleaner mara 4 kwa mwezi (maana huwezi kufua, sa sijuwi ukija kuzaa na nepi za mwanao utakuwa unapeleka dry cleaner?!); upande bajaji/taxi kila kwenda kwa jamaa; n.k
Ivi kwa akili yako finyu unadhani mwanaume mwenye maisha ya kawaida tu ataweza kumudu mwanamke that type?? Oviously jibu ni hapana! So kuepusha stress, ni bora atafute mwanamke ambae ni class yake na wataelewana. Mbona kuna warembo wengi tu ambao saluni hawezi tumia zaidi ya elfu 10, anafua nguo mwenyewe (sio kwenda dry cleaner), anapanda daladala (sio bajaji wala taxi) , n.k Na maelezo ya jamaa yanasema kwamba siku ikitokea amekwama kipesa na kumpa elfu 10, huikataa na kumrushia nayo usoni kwa nyodo, na humchunia ata week nzima mpaka atapompatia pesa ya kutosha. So hayo ndo mapenzi eeeeh? nyie ndo wale wale gold-diggers. Mnatamani muishi maisha high class wakati ni unable financially.
Nina mashaka na uwezo wako wa kusoma maandishi maana maelezo yangu yalikuwa very self-explanatory.
Na Kama bado hujaelewa ninachomaanisha, basi we ni kilaza au unatafuta tuzo ya ubishi.
On the other side of the coin, why upende high maintenance wakati hauna pesa zako mwenyewe? Acha kumfilisi mwenzio kwa ulimbukeni wako wa maisha. Kuna baadhi ya wanawake wana wanaume na still hujiita Miss-Independent, hivi maana yake huwa ni nini??
Kwani wewe ni baba yake hadi akuletee mashauzi yote hayo!!!
Achana na wanawake wa namna hiyo wenye kuweka ubinafsi mbele...
Kama yeye angekuwa anazo hizo hela kwa nini ahangaike kukuomba!!!
Hapa jf hamna hata hao great thinkers mnaojinasibu nao hivi ni uchunaji gani wa vijihamsini na vijithelasini elf? nywele ya huyo demu inasukwa kwa bei gani? mafuta ya kujipaka je? sabuni na vikorokoro vingine je? hivi anapojiandaa kuja kwako aende saluni aache elfu arobaini yake, apeleke viwalo dry cleaner aache kumi na tano yake halafu achukue bajaji buku kumi kuja gest kwa mawazo yako anazitoa wapi? wajibu wako kwake ni nini? na yeye asipotekeleza wa kwake kwako inakuwaje? mnajiingiza kwenye mambo ya mapenzi kama fasheni wala hamjui mlitendalo.
halafu inaonyesha hata haukuelewa ma topic..,pale niliposema letsay elfu30 it doesnt mean exactly elfu 30..,pale nilikuwa najenga mantiki kuwa m2 wa namna hiyo hata kama ulimzoesha kumpa laki tano then cku utakyokuja kumpa laki tatu ....anaikataa mbele yako.,anaitaka ileile laki tano uliyozoea kumpa cku zote.,BUT I DONT BLAME U RATHER IM SAD OF UR NARROW MIND:A S 20:Kwani k ya demu wako na ya corner bar inatofauti gani?tofaut ni 1tu,ya corner bar unailipia while ya demu wako unaipata 4free whenever u want that y unamdharau demu wako, ukitaka utamu ugharamie otherwise piga punyeto simple,mtu mwenyewe hela za mawazo elfu 30 unapiga yowe kama umepigwa death sentence ,shame