Jamani akina dada tuhurumieni basi hata kidogo.....,

Jamani akina dada tuhurumieni basi hata kidogo.....,

Maneno niliyo quote ni ya kwako kwahiyo mbulula na kilaza ni wewe, period

Ningekuwa kilaza, nisingeweza ku-expose ufinyu wako wa kufikiri kwa hoja. HASIRA ZA MKIZI + MAWAZO MGANDO = Victim of the situation!! pole sana dada.
My kind advice to u: kanunue king'amuzi ufunge kwenye ubongo wako ili kuboost. Otherwise... i seal the deal.
 
You are only a f.o.o.l who thinks intimidation makes him seem learned; check great thinkers here Home to judge yourself better
 
ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww unampoza kw maneno mazuri kuwa hauko safi cku hiyo na unampa elfu10 ambayo unayo..,loh.....,unashangaa unatupiwa uson hako ka elfu kumi....,na anasema `yaani hiyo ndo hela ya kumpa yy..,kama hautaki basi.,`na cm ukimpigia hataipokea hata wiki mpaka hapo utakapomtosheleza hitaji lake..,vp wadau imekaa vizuri kweli hii?

pasua kichwa......wewe bank? Me hata kama nina pesa lazima nikunyime saa zingine ili ujifunze kuna siku nitakosa
 
Back
Top Bottom