Jamani akina dada tuhurumieni basi hata kidogo.....,

twafa-kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
251
Reaction score
211
Ndugu wadau utakuta mtu una girl friend wako...,na haujawahi hata cku moja kum-dissapoint ktk mahitaji yake esp financially.,sasa inatokea cku hauko vizur na anahitaj letsay elfu30..,na ww unampoza kw maneno mazuri kuwa hauko safi cku hiyo na unampa elfu10 ambayo unayo..,loh.....,unashangaa unatupiwa uson hako ka elfu kumi....,na anasema `yaani hiyo ndo hela ya kumpa yy..,kama hautaki basi.,`na cm ukimpigia hataipokea hata wiki mpaka hapo utakapomtosheleza hitaji lake..,vp wadau imekaa vizuri kweli hii?
 
Kwani wewe ni baba yake hadi akuletee mashauzi yote hayo!!!
Achana na wanawake wa namna hiyo wenye kuweka ubinafsi mbele...
Kama yeye angekuwa anazo hizo hela kwa nini ahangaike kukuomba!!!
 
nenda msoma ukapewe kozi ya kuishi na mademu, kule ukimpa afu akakurushia hela usoni! Anatandikwa had anaikota mwenyewe then anaitumbukiza mfukoni mwako mwenyewe.....tehe tehe teheeee sometime unfair actions help
 
Kaombwa elfu 30 analeta sred,umaskin ni laana
acha tu hata bill za kichina anashindwa kuclear ?
sii aache tu awaachie wenyewe.imagine anataka kumwaga demu wa elfu 30 ataenda wapi huyu ? labda awe padre
 
Kwani wewe ni baba yake hadi akuletee mashauzi yote hayo!!!
Achana na wanawake wa namna hiyo wenye kuweka ubinafsi mbele...
Kama yeye angekuwa anazo hizo hela kwa nini ahangaike kukuomba!!!
hutaki unaacha kiroho safi dunia ni yako maisha ni yako chaguo ni lako....chagua kuishi bila kupigwa mizinga
 
Huyu apige nyeto tu kwani mikono yake haiwezi mwomba elfu30
acha tu hata bill za kichina anashindwa kuclear ?
sii aache tu awaachie wenyewe.imagine anataka kumwaga demu wa elfu 30 ataenda wapi huyu ? labda awe padre
 
Haya...ila kwa namna nilivyoelewa huenda akawa ni yeye au mtu mwingine tu.

Ndo levo ya pesa aliyoombwa ,below elfu 50 afu anapiga yowe angeambiwa atoe laki si angejitundika kama kina fulani,ha ha ha
 
Hahahah...mizinga huwa anatoa akiwa na fweza ila kuna wakati mirija yote inakata

hutaki unaacha kiroho safi dunia ni yako maisha ni yako chaguo ni lako....chagua kuishi bila kupigwa mizinga
 
Ndo levo ya pesa aliyoombwa ,below elfu 50 afu anapiga yowe angeambiwa atoe laki si angejitundika kama kina fulani,ha ha ha

Cku hazifanani. Na kumtoa mahela demu wako anytime ni uboya.
 
Back
Top Bottom