jamani ache Mungu aitwe Mungu

hubby umenigongea 'like' ya 3333, mwahhhh! we r indeed soul mates! ,mwahhhhhh
Kuweka msisitizo na ya 3334 nimekukong'olia tena. Napoamua kupenda huwa sifanyagi masihara. hata nikikufumania sikuachi wallah.... Mmwaaa!

Ukitoka nihifadhi hapa, wakware wasije kukuibia mali zako. waambie kabisa na Yummy na BADILI TABIA bila kumsahau Kongosho asali ya ODM

attachment.php
 
Last edited by a moderator:

Nami naona amenigongea ya 1000 khaaaaa haya mapenzi kweli moto moto si kise...e

Senkyuuu Asprin mwaaaaah
 
Last edited by a moderator:
Kuweka msisitizo na ya 3334 nimekukong'olia tena. Napoamua kupenda huwa sifanyagi masihara. hata nikikufumania sikuachi wallah.... Mmwaaa!

Ukitoka nihifadhi hapa, wakware wasije kukuibia mali zako. waambie kabisa na Yummy na BADILI TABIA bila kumsahau Kongosho asali ya ODM

attachment.php
kesi ya kunguru ukampe mwewe!! tutapangiana zamu ya kukaa na wewe hm! lol, huendi kokote, mwahh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom