jamani ache Mungu aitwe Mungu

hahaha....hivi MadameB ushawahi sikia sauti ya Tyson?...huwezi amini ndio anamiliki ule mwili jumba

Mweeh!
Kuna siku alinipigia simu eti amemaind flag yangu,
nikamchomolea mwenzangu,
kisa cha kuvunjwa ugoko...!!!
Chakufia...akhaa..!!!
Vp sauti yake mwanana?
 
CCM+DMV+420.JPG

cacico mme wenu mmempa nini leo usiku?
Mbona haeleweki,
kapagawapagawa..!!!
 
Last edited by a moderator:
Mweeh!
Kuna siku alinipigia simu eti amemaind flag yangu,
nikamchomolea mwenzangu,
kisa cha kuvunjwa ugoko...!!!
Chakufia...akhaa..!!!
Vp sauti yake mwanana?

sauti nyororo,nadhani nyoka wote waliopangoni wanaweza kutoka
 
hahahaa, shikamoo baba. habari za nyumbani? mama hajambo?
..naona kuna mambo yasiyokuwa na heshima yalikuwa yanaendelea huko.

..sasa naelewa kwanini walisubiri mwezi mtukufu uishe ndiye wafanye madudu yao.

..hebu oneni kama hao kina mama watatu hapo. hivi kweli hiyo ni picha ya heshima kweli??

Ng'ombe kula majani na kutoa maziwa tu ndipo ninaposhangazika mimi hapo!!!

Au mtoto aanzae kujifunza kuongea kutamka neno 'mmama' badala ya 'bbaba' kwa mara ya kwanza ndipo ninaposhangaa mimi!!

me bado nashangaa mwanangu aliwezaje kukaa ndani ya tumbo langu kwa muda wa miez tisa! dah ni ajabu. . .
 
Kinachonishangaza mimi ni babu asprin anavyoweka thread ndani ya thread! Kuzeeka bwana... Roho inataka mwili unashindwa yaani dhaifu.
 
me bado nashangaa mwanangu aliwezaje kukaa ndani ya tumbo langu kwa muda wa miez tisa! dah ni ajabu. . .

Yani ndo hapo,
na mtu unashindwaje kubeba gunia la kilo 70 wakati binadamu mwenye uzito huo huweza kubebwa tena kama karatasi...??!!!
 
Wataalam wa sheria,

Salaam kwenu na poleni na majukumu ya kila siku.

Kuna Dada yangu mmoja mume wake alifariki akiwa njiani kutoka kazini kuerejea nyumbani. Ilikuwa ni mida ya jioni alipokutana uso kwa uso na lori yeye akiwa anaendesha pikipiki. Waligongana kwa kosa la mwenye lori na akafariki hapo hapo. Nimesema kwa kosa la dereva wa lori kwa sababu ndiyo rule ya mahakama na dereva wa lori alikiri hivyo.

Baada ya msiba, mwajiri wa mume wa dada yangu aligharamia sanda, jeneza, shada la maua na usafiri wa magari mawili kwa ajili ya kusafirisha kwenda kwenye mazishi ndugu wa marehemu pamoja na mjane. Pia, mwajiri alitoa rambirambi kama taasisi na michango kutoka kwa wafanyakazi na kutoka kwa makampuni yenye mahusiano na taasisi aliyokuwa anafanyia mume wa dada yangu.

Sasa nachotaka kujua ni je, sheria inasemaje kuhusu fidia ya mwajiri kwa mjane maana marehemu shemeji yangu ameacha familia ikiwa na watoto wanaohitaji matunzo na kusoneshwa. Je, alichotoa mwajiri kinatosha au kuna kingine zaidi ikizingatiwa kuwa marehemu alipata ajali akiwa ametoka kazini kuelekea nyumbani?

Tafadhali wajuzi wa sheria wanisaidie katika hilo ili nami nione ni namna gani tunaweza kumbana mwajiri.

pole sana ndugu yangu. Kuna kitu inaitwa 'workers compensation act' kupitia sheria hii atalipwa.
 
kabla ya kudai haki lazima uzingatie mambo kadhaa!
1. Lazima kuwe na mkataba wa kazi unao onesha malipo!
2. Huyo dada yako lazima awe ni mke anaye tambulika kisheria na alisha orodheshwa na marehemu kama mke haalali kwani pesa hawezi pewa mtu yeyote kisa kasema alikuwa ni mke wa marehemu(nazumgumzia uthibitisho)
3. Lazima uzingatie kuwa ajali marehemu aliipata wakati akitimiza majukumu ya kazi au lah?

Kwa swala la boss kugharamia msiba inategemea kwenye namba 3 hapo juu. Kwani kama alipata ajali katika shughuli binafsi alicho fanya boss ni huruma yake.

Na hiyo haibebi huhalali wa wakuwa amesha maliza kazi yake kama mwajili ndio hapo tunakuja kwenye mapitio ya mkataba wa ajira na haki za mfanya kazi.

Mambo kama ya mafao bado ana haki ya kufatilia kama mume wake alikuwa mteja wa hiyo mifuko.
NB. Babu pole sana
 
habari zenu binafsi!!!!!
hebu fikiria mifumo yote ya mwili ingekuwa inatoa sauti wakati inafanya kazi, kungekuwa na kelele kiasi gani katka mwili wa binadamu?
1. mfumo wa upumuaji - mffmffmff
2. mfumo wa chakula ukisaga chakula - pokopokopokopo
3. ufumo wa damu ukisafirisha damu - shwaaa a a a a
na mifumo mingine yote! dah ingekuwa kelele ajabu.
hebu tuambie ni kitu gani kinakushangaza wewe?

:biggrin1: eti pokopokopoko yaani topics zako just amaze me
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom