Ben4figure
Member
- Jul 20, 2016
- 32
- 46
Mimi nmemaliza kidato cha sita mwaka huu 2016 na nmepata 3 ya 14.kwnye combinationa yangu pcm nimepata EED sasa nahofia kuapply.......Ila kuna rafik yangu yeye alikua ECA na amepata kama mimi ila grade kapata DDS nayeye ana vigezo .....Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.