Jaman nifanyaje?

emwambia c mara moja still bado haamin mpaka inaboa yan,.. naona napoteza mda na upendo wangu 2.,,
 
@ sangara, ndo yule yule yan full maumivu,,. yy anadai 2tapiga story 2 zakawaida .
 
nina mpenz,.. nampenda sana ila yy anawivu kupita maelezo,.. nikifanya kidogo 2 anasema nina wanaume,.. alaf nikimwambia ukweli anadai ninamdharau,.. na kuniuliza kwan cjui yy ni mwanaume??? kwan hii hali ya ukandamizaj kwenye mapenz bdo ipo?

hapo red.. wamaanisha ukigongwa nje au?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom