roby2006
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 421
- 113
Nikwambie kitu rafiki yangu, huyo mdada hakutaki hata bure, kula kona kabla hujapata kichaa. Siku hizi hatuwambii wanaume sikutaki, unamuomba mawe tu kila kukikcha huna muda wa kumjulia hali ukibeep akipiga unamwambia hela, message hela!!
We ni mtu mzima! umenielewa sawa.
umesomeka mdada ushauri wako binafsi unanihusu nina mmoja huyo ana sifa zote ulizotaja hapo akibeep ukipiga analia shida mwanzo mwisho inabidi nichukue uamuz mapema ukizingatia we mwenyewe mdada