Zuia Sayayi
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 841
- 133
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?
Kuombwa kwako hela kunaashiria mambo mengi, kwanza inategemea jinsi ulivyojinadi, kama ulijipambanua kuwa wewe ni mwekezaji mwenye mijihela, ukiombwa vocha ni sawa tu. Ila kama sio na anakuomba umtumie vocha na ukishamtumia hawasiliani na wewe hii inaashiria kuna jamaa anayewasiliana naye nyuma ya pazia na hivyo kakufanya wewe mwezeshaji. Piga chini kabla hajakucost zaid. so pima kati ya haya lipi ni lipi, jiongeze then fanya maamuzi.Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?
usimutumie vocha
mwambie muonane ndo utampas pesa ya vocha...
mkionana mwambie live biashara ya kugharamia mwanamke ambae huna uhakika ni wako au sio
huwezi.....akujibu moja
wako au sio wako....
mwanaume sometimes unatakiwa ku command..sio kubembeleza tu daily...
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?
What a f**k!!.......if i was near i'd have whipped ur silly behind........why....? U keep doing wrong things after messing up the first time?..........she is not interested into you at all.....the first mistake is declaring your feeling like a wusy boy too soon......after that u keep doing it again and again........attraction does not work out that way!.......a lot of loosers may be giving her money and vouchers now and then....so u r no different to her.....she treats u the same like them!.......so wise up,learn to attract women naturally not by material thingz!
Next tym when u feel like loosing your senses like this, take a nail and hammer and put it on your foot and smash the hammer