Jaman mbona sasa ananitesa.

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
841
133
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?
 
Wala sio sababu anajua unampenda!
Ndugu yangu unaoneka Mawe una (pesa) na toto linaonekana linapenda Mawe!

Ushauri wangu kwako jitoe tu mapema kabla ujapata presha!
 
Jitoe Ogopa D anaependa pesa!! ni kujitakia viwembe vikukatekate Moyoni! Hawana mapenz Kabisa anachojali ni Pesa yako.
 
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?

Tatizo una haraka sana! Ila ukiona hivyo ujue kuna mshkaji anamkuna vizuri, ndiyo maana umebaki kuwa mr. Credit
 
No, anakupenda pia na anataka achat na wewe ila hana pesa, we mtumie tu.
 
usimutumie vocha
mwambie muonane ndo utampas pesa ya vocha...

mkionana mwambie live biashara ya kugharamia mwanamke ambae huna uhakika ni wako au sio
huwezi.....akujibu moja
wako au sio wako....

mwanaume sometimes unatakiwa ku command..sio kubembeleza tu daily...
 
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?
Kuombwa kwako hela kunaashiria mambo mengi, kwanza inategemea jinsi ulivyojinadi, kama ulijipambanua kuwa wewe ni mwekezaji mwenye mijihela, ukiombwa vocha ni sawa tu. Ila kama sio na anakuomba umtumie vocha na ukishamtumia hawasiliani na wewe hii inaashiria kuna jamaa anayewasiliana naye nyuma ya pazia na hivyo kakufanya wewe mwezeshaji. Piga chini kabla hajakucost zaid. so pima kati ya haya lipi ni lipi, jiongeze then fanya maamuzi.
 
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?

mkuu ulitanguliza jiwe nini???
 
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?

What a f**k!!.......if i was near i'd have whipped ur silly behind........why....? U keep doing wrong things after messing up the first time?..........she is not interested into you at all.....the first mistake is declaring your feeling like a wusy boy too soon......after that u keep doing it again and again........attraction does not work out that way!.......a lot of loosers may be giving her money and vouchers now and then....so u r no different to her.....she treats u the same like them!.......so wise up,learn to attract women naturally not by material thingz!
Next tym when u feel like loosing your senses like this, take a nail and hammer and put it on your foot and smash the hammer
 
usimutumie vocha
mwambie muonane ndo utampas pesa ya vocha...

mkionana mwambie live biashara ya kugharamia mwanamke ambae huna uhakika ni wako au sio
huwezi.....akujibu moja
wako au sio wako....

mwanaume sometimes unatakiwa ku command..sio kubembeleza tu daily...

Ahhh Boss weye ebu wacha mwezio atoe ,unajuaje kaanza kutangazia kama anazo mtumiaji tuu ndio hayuko? na basi kwani unadhani kaombwa vocha ya hela nyingi ah sibasi tu na yeye mchungu na vipesa vyake,katakia nn kama mambo ya watu hayawezi.....
 
huyo demu hafai,atakuchuna na kukuacha unashangaa tu,sepa la sivyo atakupa presha
 
Jaman wana jamvi kuna binti nilitokea kumpenda nikamweleza akakubali, lkn cha kushangaza kila nikimpigia cm hapokei then ananiandikia tafadhal niongezee hela, au kwa sababu anajua nampenda.? Naomben ushauri jaman. What can i do 4 her.?

Nikwambie kitu rafiki yangu, huyo mdada hakutaki hata bure, kula kona kabla hujapata kichaa. Siku hizi hatuwambii wanaume sikutaki, unamuomba mawe tu kila kukikcha huna muda wa kumjulia hali ukibeep akipiga unamwambia hela, message hela!!

We ni mtu mzima! umenielewa sawa.
 
What a f**k!!.......if i was near i'd have whipped ur silly behind........why....? U keep doing wrong things after messing up the first time?..........she is not interested into you at all.....the first mistake is declaring your feeling like a wusy boy too soon......after that u keep doing it again and again........attraction does not work out that way!.......a lot of loosers may be giving her money and vouchers now and then....so u r no different to her.....she treats u the same like them!.......so wise up,learn to attract women naturally not by material thingz!
Next tym when u feel like loosing your senses like this, take a nail and hammer and put it on your foot and smash the hammer

lazima yamekukuta the way unavyong'aka du!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom